Nadhani kusema Mwelekeo ni mzuri , alafu hapo hapo useme "Tutakiri haya miaka ijayo si sahihi"
Mosi, huu Mwelekeo mzuri ulipaswa kua na viashiria ambavyo tungeviona kuanzia sasa , hatungehitaji kuitabiri hiyo miaka ijayo , ila ingeonekana kuanzia sasa , ni kama tu mkulima wa mahindi , yakifika saiz ya goti tayari unapata picha , Safari navuna au sivuni
Jambo la pili , kwa mujibu wa taarifa mbali mbali , chini ya uongozi wenu , Zaid ya watanzania mil 2 wamerud kwenye lindi la umasikini , je ..ni kitu gani mnatengeneza hapa mkuu ? Kwanini mwaona fahari Sana kusifiana badala ya kuangalia ni wapi mlipo teleza ?
Majibu yako n muhimu sana
Sent using
Jamii Forums mobile app