Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ni kweli unamuogopa kilimba na kitila na misiba ikitokea wao wakiwepo wewe hauendi kwenye hiyo misiba?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kilimba NILISHAMSHINDA mara mbili alipata 2000 Mimi 28000 Kitila hata sio mshindani ameingia CCM nikiwa nimeshapanga timu. Hizo ni hisia za mitandaoni tu. WAPIGA KURA NI HAWA HAWA NA UKUMBI UTAKUWA HUU HUU. Hapo na KILIMBA ALIKWEPO
 
Kaka kuna huduma nyingine zaidi ya kunywa pombe[emoji3][emoji3][emoji3]

Vipi ni kweli wewe ni Lameck Madelu kwamba ulinyakua jina la msukuma mchunga ng'ombe??

Bado upo karibu na rafiki yako Dr Ngaponda??
Hongera? Huwa sinywi pombe unanikutaje bar. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimba NILISHAMSHINDA mara mbili alipata 2000 Mimi 28000 Kitila hata sio mshindani ameingia CCM nikiwa nimeshapanga timu. Hizo ni hisia za mitandaoni tu. WAPIGA KURA NI HAWA HAWA NA UKUMBI UTAKUWA HUU HUU. Hapo na KILIMBA ALIKWEPO
Kwa hiyo umeanza kampeni? kazi kwenj Kitila na wengineo
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Ufafanuzi umeeleweka. Swali langu la msingi, Je, ni lini utafuta matangazo ya kampeni zako 2015 kuhusu kuchaguliwa kuwa Rais.? Barabara ya kwenda bara, kwenye mawe makubwa na kuta za barabara zina maandiko ya chagua Mwiguru Nchemba kuwa Rais, Huoni hayo maandishi yanaleta taswira mbaya kwako wewe especially wanafunzi wanaojifunza methali zisemazo ' mkono wa mjinga huandika popote'
 
Wana Iramba kwa sasa unadhani kero zao zimepungua hasa issue ya zahanati na vituo vya afya?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna watu wanamshukuru Mungu sana kwa kuwaonesha kuwa wewe ni mtu mwenye moyo wa namna gani iwapo kama wangefikiria kuja kukupa ridhaa ya kuwa rais wa hii nchi.

Mwenyezi Mungu ni Mkuu sana!

Vipi bado ndoto hiyo unayo au basi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kuna huduma nyingine zaidi ya kunywa pombe[emoji3][emoji3][emoji3]

Vipi ni kweli wewe ni Lameck Madelu kwamba ulinyakua jina la msukuma mchunga ng'ombe??

Bado upo karibu na rafiki yako Dr Ngaponda??

Sent using Jamii Forums mobile app
NDIO HATA LAMECK NILICHUKUA JINA LA MTU WEWE LA KWAKO HALIKUWA LA MTU? UMEKOSEA TU KIUSEMA LA MCHUNGA NG'OMBE. MCHUNGA NG'OMBE NQ MIMI WOTE TULICHUKUA KWA MTU
 
CCM haijawa na sera nzuri hasa upande wa vijana nini maoni yako?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unamshauri nini uliemwachia kijiti kuhusu sakata linalomkabili
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
 
Unajitihada gani za kuhamasisha kilimo cha korosho katika jimbo lako ili kiweze kusaidia kuinua uchumi wa wananchi wako maana Mkoa wako wananchi hasa mmoja mmoja wana hali mbaya

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mikoa kama Ruvuma na Kagera vijijini wana majumba mazuri vipi ninyi mkoani kwenu mna mpango wowote wa kubadili makazi walau wananchi waanze kujenga nyumba bora vijijini?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom