SIO KILA KITU KINAJIBIWA NA KILA MTU, NA KILA KITU NI PUBLIC
Nimekuuliza kuhusu rafiki yako Ben mwana wa saa 8, nimekufuata hata inbox lkn mpk Sasa sijampata jibu..
Hivi uwa unakwenda kulala na kupata usingizi kabisa, ukiwa na amani rohoni pale unapokumbuka vifo vya wa tanzania wenzako hasa vya kwenye viroba, Ben, na Azory wakati wewe ndo ilikuwa na dhamana ya kulinda maisha yao na Mali zao?
Hv dhamira yako haikusukumi kuona kuwa hakuwajibika kama kiongozi mwenye dhamani kwa huu unyama uliotokea?
Hv madaraka, vyeo, uongozi ni bora kuliko utu wa binadamu mwenzio kama Utu wa binadamu ni bora na Muhimu ni nini kinakusukuma kugombea tena ubunge Hali umeshindwa kulinda maisha ya wa tanzania na Mali zao?
Watoto wa Azory, mtoto wa Ben hawana baba na inavyoonekana hawatawaona tena hiki kitu hakikuumi na kuona kuwa wewe si kiongozi bali labda unakipawa cha kufanya kazi nyingine? Utu wako huko wapi, ubaba wako huko wapi, ukaka wako huko wapi?
Wanasiasa wa Tanzania mjifunze kuwajibika pale unapoona umefanya unyama kama ulivyofanya kipindi chako kuna maisha baada ya siasa...