Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Kwa Ilboru Umeongea uongo mkuu hukuwa ukivaa skafu...nachokumbuka mimi ulikuwa Kiranja wa chakula, badae ukawa HP na wakati wa likizo ulikuwa unabaki shule kulisha ng'ombe na nguruwe wa shule ili shule ikulipie ada!
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

View attachment 1365715

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Nafikiri Mkubwa ziara ya Mangula kwa kiasi imekurudisha kidogo kwenye mood na imekupa comfort kiasi. Lakini hata hivyo kwa nini kwa kiasi naona kama una panic fulani hivi halafu yaani upo more for contesting na defensive kwa ajili ya kutetea nafasi badala ya kuonesha wananchi wako kuwa upo tayari kuwatumikia.

Sasa issue ya kuvaa au kutovaa skafu inahusikaje na kuwatumikia kwako wananchi. NAona unazua mjadala wa kitoto sana. Kwani kuvaa skafu ndiyo inafanya wewe uwe Mbunge mzuri au mtendaji mzuri?

Nina uhakika umeshaanza kupiga kampeni na meseji unazowatumia watu zinatengeneza ushahidi mzuri tu kuwa ushaanza kampeni na hizo ndiyo zitatumika kukudefeat kwa sababu unachofanya huna tofauti na mchezaji anayeibia.
 
Ndio kawaida ya wanasiasa wengi tz, karibia 99% ni wachumia tumbo, wapo kwa ajili yao, nafsi zao mbele vingine vitafata! Unafiki kwao ni suala la kawaida kwao.
Na hiyo ndiyo reflection ya "general public" ya watanzania tulivyo kwa asilimia hizo hizo ulizotaja ndio maana wanasiasa ambao ni zao la jamii wanakuwa hivyo kwa asilimia hizo.
 
URAIS SIO NDOTO ZA MTU BALI NI HITAJI LA WAKATI NA HITAJI LA WATU . HIVYO HII SIO AGENDA KWA SASA. NIULIZE KUHUSU IRAMBA


Uulizwe kuhusu iramba au ueleze iramba umeifanyia nn?

Anyway vipi maji wananchi ulioomba kuwawakilisha wanapata maji Safi na salama? Kwa asilimia ngap
 
Kwanini hukwenda Nairobi kumsalimia Lissu mbunge na msingida mwenzio? naomba jibu inshallah

Kwake ubinadamu sio wa muhimu kama madaraka. Nyalandu pake yake ndio mwanaccm aliyeona madaraka sio kitu bali utu. Huyo Mwigulu ni baadhi ya viongozi waovu kutokea nchi hii, wala usidhani alijali jambo lile zaidi ya nafasi yake kwenye madaraka.
 
Hi Post ina VITU VINGI, VINGINE KWA SASA MIMI SIO MSEMAJI WA MAMBO HAYO.

ILA ANAYEHITAJI KUJUA NINACHOKIJUA ANITAFUTE KWA SIMU NIMFAFANULIE
Mheshimiwa,basi tuseme kwa ufupi hakuna lolote utakalofafanua katika uzi huu. Pengine pia hukujipanga kabla ya kuna humu,ungekuwa umejipanga ungejua haya maswali ndiyo ungeulizwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes, HILI NI TATIZO, HII NI HOJA YA MSINGI.

Tar 20 tulikuwa na mjadala mpana SINGIDA, TATIZO HILI LINAWEZA KUPUNGUA KWA KUWEKEZA KWENYE MODERNIZATION OF PRODUCTION PRICESS MIKOANI KWETU, ILI SHUGHULI ZA UZALISHAJI ZITOE FAIDA ZINAZOLIPA HIVYO ZITENGENEZE AJIRA. HIVYO TULIKUWA NA RCC. TULICHAKATA SANA.

BUT AJIRA NI TATIZO NA NI MAADA PANA SANA, HAINA JIBU MOJA
Hizi sasa ni Sound kama za Mwijage!
 
Kuna mtu ametupia uzi kuwa siku hizi sivai skafu, huu ni mkutano mkuu wa juzi tarehe 19/2/2020 wakati wa ziara ya mzee Mangula. Skafu nilikuwa navaa hata kabla ya kwenda Ilboru Sekondari haikuwa sare ya Uwaziri.

Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa
Kwa matatizo mengi ya hii nchi yanayohitaji kutatuliwa wewe kuja na hoja za uvaaji wako...., kwa mtu ambaye ni kiongozi wa wananchi ni kutumia platform na muda wako vibaya..., kumbuka hili sio jukwaa la chit chat bali ni jukwaa la siasa...

But maybe am wrong na matatizo yote ya hii nchi tumeshayamaliza
 
Mwigulu ni kaka wa Iramba, Iramba ya 2010 sio Hii ya Sasa, Ameibadilisha sana
Tuambie ulichowafanyia watu wa Iramba kwenye nafasi yako ya Ubunge, hayo mambo ya skafu hata hayawasaidii watu wa Jimboni kwako.

Swali la kizushi ; Hivi bado una Zile NDOTO zako za kuwania Urais?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini mtazamo wako wa hali ya kisiasa hapa nchini kwa awamu hii? je unaona ni halali kwako kuhudhuria mkutano wako wa kichama na SG wa chama chako lakini tulioko huku Lingusenguse hatuna haki ya kuhutubiwa na SG wa CHADEMA wakati sisi wote ni watanzania ?

na mwisho ulishawahi kuwa kwenye wizara ya Fedha unaonaje ukuaji wetu wa kiuchumi na ongezeko letu la watu?
 
Una matatizo makubwa sana, yani wewe unaona huyu Mwigulu ni mtu wa kutetewa kwa maasi yaliyofanyika chini ya utawala wake??
Kwa hiyo unatakwa kumwambia Pompeo amuongeze,ili bwana yule apate kampani?
 
Back
Top Bottom