Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ila kuna wazee wa miaka 90 bado wanapiga shoo za kibabe
 
Sio sawa, ww umri wa mwisho mtu awe na 30 asizidi hapo.
Kwanza huyo au niishie hapo
 
Una maanisha nini mkuu
Nisamehe nilitaka kusema umri mara 2 yake.Sasa mafile yakawa mengi.
Umri huana kipingamizi.Lakini mkubaliane na changamoto za sasa.
Jogoo kukosa nguvu...magonjwa...na mengineyo.
Mkila vizuri na kufanya yenu mambo yatakuwa motrooo.
Nina ushuhuda huo..mwanamke akiwa mdogo..mwanaume akaze pumb××u.
 
Kwahiyo nijiandae kumuuguza?
 
HII INAITWA. CONTENT CREATION.........UMEFAULU HONGERA SANA ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…