Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Nachokuuliza kwanza wewe na mwanae mmetofautiana kidogo sana, ni mtu na mdogo wake,

Pili walitengana na mkewe kwa muda gani? Je huyo mwanamke walifunga ndoa au ilikuwa ni sogea tukae ? Je bibiye kama walifunga ndoa au sogea tukae alivyo achana huyo mke mkubwa ameolewa au ?

Tatu jamaa ana ukwasi au maisha ya kawaida? Hapo hakuna Cha kuniambia mnaanza chini coz age mpo tofaut sana, kama mpunga au Mali zipo ukipata watoto ikiwa utaolewa naye hakikisha una mgao wa Mali kisheria na sio. Ahadi wakati wa kungonoka,

Kila la khery mama wa secretarybird ndege maake unajiita mama ndege
 
Huyo ndiyo mwanaume wa saizi yako sasa. Uke wako utazeeka (ukifika miaka 45) yeye utamuacha bado anatamani maana wanaume wanapiga shoo mpk miaka 90
 
As long as haupo chini ya miaka 18, go ahead. Kama umefanya utafiti na unaona anakupenda kwa thati, anakuheshimu, na wewe pia unampenda kwa thati, na unamuheshimu, sioni tatizo hapo.

Kabla ya kuoana uliza suala la kwamparange a.k.a tigo ili baadaye lisije kuwa kikwazo kama atapigahodi kwamparange na wewe hakubaliani.

Maana nimeshuhudia ndoa nyingi zinahalibika au kupoteza original dirrection kutokana na hili, kisa watu hawaulizani kabla ya ndoa.

Kila la kheri.
 
Umeongea point mkuu nitafatilia haya niyajue kwa undani
 
Mh! atakuwa mzee wa ajabu sana
Lkn kumbuka wewe hamu ya tendo itakapotoweka kabisa (46), yeye atakuwa bado sana (69). Ushauri wangu kwako, kama hutaki mastress kwenye ndoa, olewa na huyo jamaa. Miaka 46 bado sana kwa mwanaume.

Kajala ana miaka 43, ni mwanamke na anaonekana hivyo, imagine angelikiwa mwanaume?
 
Olewa utulie uache umalaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…