Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Kataa Ili uendelee kutiwa ties na vijana wenzio,matiti yakilala uzalie nyumbani
 
Binti sayuni wangu huyo mkuu.

Harufu yake siwezi kuikosa.
 
Imagine mzee wangu, Dah mm mwanaume tuu Siwez kusex na mwanamke aliyenizidi sana umri mana ntamuonea kinyaa Ila wanawake 🙌
Wanawake wakiwa na umri mkubwa wanatia kinyaa, lkn siyo kwa mwanaume mkubwa vs Binti.

Hii ya mwanaume mzee vs Binti mdogo ipo tangu kitambo cha akina Ibrahimu, Yesu na Mohammad S.A. W.

Mohammad S.A.W akiwa na 46 alioa kainti ka miaka 9.
 
Moyo wangu bado haujamkubali kama
 
Kwanza wewe ni mama ndege unakataaje kuolewa
 
Cha Msingi tu awe na maisha.Sio unaolewa na Mbaba wa Miaka hiyo halafu muanze maisha chini.Hapana hapa mnatakiwa mkae mle wote usubiri Afe kwa matumizi makubwa ya Viagra akuachie urithi.

Huo ni Utani tu.Love is Love and Age is Just a number kama unahisia naye na unampenda Sione Ubaya hata kama angekuwa na miaka 70.
 
Mkubalie tu,kwani kuna tatizo gani??,, Lkn ukiuliza sana humu utapotoshwa bure,na we umri unasonga mbele ujue!!!!!,, Na wa umri kama wako wengi ni balaa kimahusiano,hawafai kiviile!!!, Kwakuwa hawako tayari kuishi kindoa,kuwa mwangalifu dada kwa utulivu mkubwa.
 
Asante sana mkuu nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…