Unampenda lakini?NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Kajala anafanya mazoezi makali na mlo Wake ni wame hesabu hali hovyo hovyo, kazi anazo fanya hazmpi stress Za kutear and wearLkn kumbuka wewe hamu ya tendo itakapotoweka kabisa (46), yeye atakuwa bado sana (69). Ushauri wangu kwako, kama hutaki mastress kwenye ndoa, olewa na huyo jamaa. Miaka 46 bado sana kwa mwanaume.
Kajala ana miaka 43, ni mwanamke na anaonekana hivyo, imagine angelikiwa mwanaume?
Asante mkuu ngoja niangalie namna maana nahisi ndugu hawatamkubaliMkubalie tu,kwani kuna tatizo gani??,, Lkn ukiuliza sana humu utapotoshwa bure,na we umri unasonga mbele ujue!!!!!,, Na wa umri kama wako wengi ni balaa kimahusiano,hawafai kiviile!!!, Kwakuwa hawako tayari kuishi kindoa,kuwa mwangalifu dada kwa utulivu mkubwa.
Bado hatujaonjanaUnampenda lakini?
Anakutomba vizuri? Basi olewa
Nairobi namfata nani sasa?Kama vip njoo Nairobi refresh mind best
Duuh...Bado hatujaonjana
Yaani hata mwezi hana kanitongoza na kuniambia anataka kunioa muda wowote nikikubaliDuuh...
Mkuu haupo serious kabisa.
Hilo si jina tu mkuuKwanza wewe ni mama ndege unakataaje kuolewa
Kuwa makini hiyo ni red flag.Yaani hata mwezi hana kanitongoza na kuniambia anataka kunioa muda wowote nikikubali
Tafuta kijana mwenzako nayeye atafute mzee mwenzake.NRNE
Huyu mbaba ni mtu mzima mwenye umri miaka 46, kaniambia nikikubali kuwa naye yupo tayari kunioa, mimi nina miaka 23 tu, je ni sahihi?
Kaniambia mtoto wake wa kwanza ana miaka 16, aliachana na mkewe sasa hivi anaishi mwenyewe.
Naombeni mawazo yenu wadau
Wewe ndo yafaa umkubali ,ndoa ni ya kwako,kamwe haitakua ya mwingine na wala haitashirikishwa na mwingine yoyote,jisikilize wewe,usisikilize wengine wanasemaje 🙏🙏🙏👋Asante mkuu ngoja niangalie namna maana nahisi ndugu hawatamkubali
Ndy safi sasa mkuu,,Ila miaka 20+ n uongo aisee
Asante sana mkuu nitafanya maamuzi sahihiWewe ndo yafaa umkubali ,ndoa ni ya kwako,kamwe haitakua ya mwingine na wala haitashirikishwa na mwingine yoyote,jisikilize wewe,usisikilize wengine wanasemaje 🙏🙏🙏👋
Mh! Mbona unanitisha sasa mkuuTafuta kijana mwenzako nayeye atafute mzee mwenzake.
Vinginevyo ukipigwa juju na mkewe usianze kuja kulia. Hapa.
Hujui mkewe anaangalia nani kisababishi Cha yeye kuachika.
Zinanisaidia nini sasa hizi mkuu, huu ni ukweli kabisaNajua unapenda likes na comments that is way unaandika uongo na kubadilisha I'd
Like nimekupa na comment ndo hii Enjoy ur day Nigga.
Hata mimi nimeshangaa sana mkuuKuwa makini hiyo ni red flag.
Mtu wa miaka 46 akutongoze kabla ya mwezi kisha akutangazie ndoa.
Take it slow..... ushari onjaneni kwanza vipi kama anakadude kama kipenseli ....
Yaani😂😂😂hutaki tena kuwa mshangazMdogo akeee naona umebadili ID nilijua niko mwenyewe 🤣🤣🤣