Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Kwa ulivyoisha tumika na maziwa kulala wacha tu akuoe
 
Nakushauri usiingie kichwa kichwa!(Na tayari hapa naona bado kidogo utaingia tu)
Lazima ujiulize kwa nini alimwacha mkewe!
 
Muhimu ni security , akujengee Nyumba ndo mzae harufu kumbuka vitega uchumi ikitokea katungulia usihangaike, Sasa hivi hakuna mapenzi ni mwendo wakutafuta security, na fursa ndo maana vijana wakiume wanalelewa na mashangazi . Unaweza kuolewa na kijana mwenzio lakini bado usifurahie ndoa , maisha ya ndoa ni fumbo gumu
 
Kwani mumeshaanza kutombana?
 
Ninaweza nikaingia kwasababu ya pesa nikakosa furaha
 
Utaratibu wa kuoana sio sahihi.
Msipishane si zaidi ya miaka 5.
Ungekuwa unakaribia jioni yaani kwenye miaka 35 sawa unajiweka kwa yeyeto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…