uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Hapana Mkuu, kama hili wazo likikubalika, basi huwa inapelekwa hoja ya dharura Bungeni ya kuahirisha uchaguzi kwa kipindi kilichokubaliwa, na hivyo hili jambo linakuwa limefanyika kisheria. Ndio maana Lisu akasema sio mungu aliepanga uchaguzi ufanyike October 2025Huo ni mtego ccm wakikubali tu!Baada ya oktoba 25 muda wa madaraka utakua umeisha na rasmi serikali haitotambuliwa coz muda umeisha na ndipo jeshi litachukua nchi!!
Wanaccm wenye uchu hawatakubali hilo!!
Naona vurugu au ccm kupoteza Dola kwanini
Move ya Lisu inafanana na wale wenye nchi waliosema uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri katiba mpya mwenyekiti amekiuka kwahiyo Hadi sasa ni tagert Kwa wale jamaa coz walionya "mtajwa asipoanza mchakato Hadi mwakani yaani 2022 itakua too late kwake"neno TOO LATE ni neno kubwa mno!!
MTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!Kabisaa! Akili kubwa sana hii. Wabunge waongezewe muda hata kama ni miaka mitatu ilimradi reforms zifanyike za maana.
Na itashangaza kama waliopo madarakani watakataa kuongezewa muda ikiwa wanaendelea kunufaika na posho za ubunge.
Reforms na maridhiano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.
Mfumo vyama vingi una faida sana kuliko hasara, hivyo ifike muda kuwepo na uchaguzi huru na haki ili serikali itakayokuwepo iwe imara kwa sababu wakijua wakipuyanga wataondolewa madarakani.
Ni kweli, hapa Lissu kawapata CCM vizuri sana. Sasa naelewa kwa nini enzi zile za Spika Makinda na Lissu Mbunge wa Upinzani, Makinda alikuwa anasema "Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tutatokaje hapa". Lissu anaongea lojiki kabisa hapa, kubishana na pointi kama hii ni kujitoa akili.Mawazo mazuri na ya kujenga
Huo ni mtego. Wenye chama watahamasisha mwisho wa siku utashangaa wanakataa kuongezewa muda ila wasio na sauti kwenye chama moyoni wanatamani kuendelea kuvuta posho.Mimi nikiwa Mbunge najua siwezi kurudi au sina mpango wa kugombea tena nitakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja ya Lissu!!! Miaka miwili ya ziada si pesa haba, na kiinua mgongo kinaongezeka!!!
Mambo sio magumu kama unavyofikiria. Kusogeza mbele uchaguzi ni jambo linalofanyika kirahisi sana, linapitishwa na Bunge na kunakuwa hakuna ukiukwaji wa Katiba. Hata kwa tamko la Raisi uchaguzi unaweza kuahirishwa, kwa mfano akitangaza hali ya hatari kwa sababu nchi iko vitani au kuna Covid nk. Kwa hiyo usiwaze mambo ambayo hayapoMTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!
MAMA ALIKOSEA ANGEANZA MCHAKATO 2022 KAMA MAAGIZO ALIVOYAPOKEA WAKATI ANACHUKUA!!
Ni kweli CCM ni watu hatari Sana linapokuja suala la kubaki madarakaniLabda sasa mazungumzo yanapaswa kuwa muda wa Raisi na Wabunge uongezwe kwa muda gani, muda utakaotosha kukamilisha Reforms? Ila kwa ninavyowaelewa CCM, wanaweza kusema sawasawa, wazo zuri sana. Tusogeze uchaguzi kwa miaka mitano tushughulikie Reforms!
Mkuu nyanyuka chomoa ulichokalia...huyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
Takataka +huyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
Ila mimi naona yanazungumzika tu na jeshi kukaa pembeni ikiwa na wao wanaona kabisa lengo ni kuleta utulivu.MTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!
MAMA ALIKOSEA ANGEANZA MCHAKATO 2022 KAMA MAAGIZO ALIVOYAPOKEA WAKATI ANACHUKUA!!
Tukienda kwenye uchaguzi bila reforms Samia atapunguziwa muda?Lissu anataka Samia aongezewe muda?
Hii mbona kama sio bahati mbaya, kuna nini nyuma ya pazia?