Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

Natambua gharama ya CDM kususia uchaguzi,maana vyama koko yaani vyama vya kwenye mikoba vitajitokeza na kuonesha vimeshiriki na uchaguzi ulikuwa huru na haki,lakini nawaomba CDM onyesheni njia,tumechoka na kupanga foleni za bure kumbe kura watu wanakuwa walishapiga usiku wa manane.
 
Huo ni mtego ccm wakikubali tu!Baada ya oktoba 25 muda wa madaraka utakua umeisha na rasmi serikali haitotambuliwa coz muda umeisha na ndipo jeshi litachukua nchi!!

Wanaccm wenye uchu hawatakubali hilo!!

Naona vurugu au ccm kupoteza Dola kwanini

Move ya Lisu inafanana na wale wenye nchi waliosema uchaguzi wa serikali za mitaa usubiri katiba mpya mwenyekiti amekiuka kwahiyo Hadi sasa ni tagert Kwa wale jamaa coz walionya "mtajwa asipoanza mchakato Hadi mwakani yaani 2022 itakua too late kwake"neno TOO LATE ni neno kubwa mno!!
Hapana Mkuu, kama hili wazo likikubalika, basi huwa inapelekwa hoja ya dharura Bungeni ya kuahirisha uchaguzi kwa kipindi kilichokubaliwa, na hivyo hili jambo linakuwa limefanyika kisheria. Ndio maana Lisu akasema sio mungu aliepanga uchaguzi ufanyike October 2025
 
Kabisaa! Akili kubwa sana hii. Wabunge waongezewe muda hata kama ni miaka mitatu ilimradi reforms zifanyike za maana.

Na itashangaza kama waliopo madarakani watakataa kuongezewa muda ikiwa wanaendelea kunufaika na posho za ubunge.

Reforms na maridhiano ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi yetu.

Mfumo vyama vingi una faida sana kuliko hasara, hivyo ifike muda kuwepo na uchaguzi huru na haki ili serikali itakayokuwepo iwe imara kwa sababu wakijua wakipuyanga wataondolewa madarakani.
MTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!



MAMA ALIKOSEA ANGEANZA MCHAKATO 2022 KAMA MAAGIZO ALIVOYAPOKEA WAKATI ANACHUKUA!!
 
Mawazo mazuri na ya kujenga
Ni kweli, hapa Lissu kawapata CCM vizuri sana. Sasa naelewa kwa nini enzi zile za Spika Makinda na Lissu Mbunge wa Upinzani, Makinda alikuwa anasema "Mwanangu Lissu, hebu tusaidie tutatokaje hapa". Lissu anaongea lojiki kabisa hapa, kubishana na pointi kama hii ni kujitoa akili.
 
Mimi nikiwa Mbunge najua siwezi kurudi au sina mpango wa kugombea tena nitakuwa wa kwanza kuunga mkono hoja ya Lissu!!! Miaka miwili ya ziada si pesa haba, na kiinua mgongo kinaongezeka!!!
Huo ni mtego. Wenye chama watahamasisha mwisho wa siku utashangaa wanakataa kuongezewa muda ila wasio na sauti kwenye chama moyoni wanatamani kuendelea kuvuta posho.
 
MTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!
MAMA ALIKOSEA ANGEANZA MCHAKATO 2022 KAMA MAAGIZO ALIVOYAPOKEA WAKATI ANACHUKUA!!
Mambo sio magumu kama unavyofikiria. Kusogeza mbele uchaguzi ni jambo linalofanyika kirahisi sana, linapitishwa na Bunge na kunakuwa hakuna ukiukwaji wa Katiba. Hata kwa tamko la Raisi uchaguzi unaweza kuahirishwa, kwa mfano akitangaza hali ya hatari kwa sababu nchi iko vitani au kuna Covid nk. Kwa hiyo usiwaze mambo ambayo hayapo
 
Labda sasa mazungumzo yanapaswa kuwa muda wa Raisi na Wabunge uongezwe kwa muda gani, muda utakaotosha kukamilisha Reforms? Ila kwa ninavyowaelewa CCM, wanaweza kusema sawasawa, wazo zuri sana. Tusogeze uchaguzi kwa miaka mitano tushughulikie Reforms!
Ni kweli CCM ni watu hatari Sana linapokuja suala la kubaki madarakani
 
Lisipotekelezeka, what next?

Watawala siyo soft , Lissu analitambua hilo.
 
MTEGO HUO MKUI!MUDA UKIPITA WA UCHAGUZI JESHI WANACHUKUA NA RAIS ANAKUA HANA MAN DATE YA KISHERIA COZ MIAKA MITANO YA KIKATIBA ITAKUA IMEKIUKWA !!



MAMA ALIKOSEA ANGEANZA MCHAKATO 2022 KAMA MAAGIZO ALIVOYAPOKEA WAKATI ANACHUKUA!!
Ila mimi naona yanazungumzika tu na jeshi kukaa pembeni ikiwa na wao wanaona kabisa lengo ni kuleta utulivu.

Wanasheria tusaidieni bunge haliwezi kufanya mabadiliko ya katiba ili waongezewe muda pamoja na rais ili wapate muda wa kufanya reforms na maridhiano?
 
Katiba hairuhusu!

Pia hana instruments za kulazimisha hicho anachokitaka.
Na haiwezekani kuwa na consensus ya "extent" ya hiyo reform anayoiimba!

Asisahau amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA sio RAIS wa Tanzania!
 
Hii hoja sio ya kuiongea kishabiki na kiufuasi, inahitaji tafakuri ya kina , zipi faida za jumla na zidizo kuwa za jumla, kadhalika hasara za ujumla na kinyume chake.

Ila kama ilivyo kuwa juzi, jana , na hata leo na pengine na kesho hakana mabadiliko , uchaguzi utafanyika kama ilvyo kawaida.

Tuombe tu uzima.
 
Hili bunge la ccm lingevunjwa . Halafu liitishwe bunge la mabadiliko lenye kuwakilisha makundi yote nchini kama lile bunge la katiba ya warioba lifanye reforms.
 
Nadhani pendekezo ni zuri.
Nadhani tatizo kubwa ambako linaeweza kujadiliwa na kuwepo makubaliano kwa haraka ni kuhusu tume huru ya uchaguzi. Ili likipatiwa dawa basi mengine muhimu yatafata baada ya uchaguzi.
Na ni vizuri kila chama kikaweka bayana kwenye manifesto yake Nini vipaumbele vyao wakishinda uchaguzi na kuunda serikali. Litakalo fuatia ni uamuzi wa mpiga kura.
Serikali ya mseto ni bora kwa miaka ya mbeleni mpaka Demokrasia iimarike.
 
Back
Top Bottom