uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Natambua gharama ya CDM kususia uchaguzi,maana vyama koko yaani vyama vya kwenye mikoba vitajitokeza na kuonesha vimeshiriki na uchaguzi ulikuwa huru na haki,lakini nawaomba CDM onyesheni njia,tumechoka na kupanga foleni za bure kumbe kura watu wanakuwa walishapiga usiku wa manane.