Anadai anaunga watu mabando, mb ndo chanzo cha pesa nyingi alizonazo nina mashaka

Wabongo wengi tunapenda kufatilia maisha ya watu. Tunaamini ili mtu aishi maisha mazuri lazima atoke kufanya kazi kila siku. Hayo maisha yalisha isha huku 2000s
Ni kama mdogo wangu nimempokea mjini akipata tatizo takua responsible why nisimfatilie, tunasubiri apate tatizo ndo nianze kutangatanga
 
Wabongo wengi tunapenda kufatilia maisha ya watu. Tunaamini ili mtu aishi maisha mazuri lazima atoke kufanya kazi kila siku. Hayo maisha yalisha isha huku 2000s
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.
Majirani na ndugu wakaanza kelele eti sifanyi kazi nashinda ndani.
Nitakuwa nawapa mimba house maids.
 
HUMU WENGI HAMNA KAZI ZA HALALI, MNA MISHE MBOVU, HUYU NI MDOGO WANGU KAMA KAANZA KUIBA, USHOGA NK AKIPATA MATATIZO NANI ABEBE MZIGO WAKE KAMA SI MIMI, WHY NISIMCHUNGUZE MAPEMA?

WAHENGA WALINENA USIPO ZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
 
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.
Majirani na ndugu wakaanza kelele eti sifanyi kazi nashinda ndani.
Nitakuwa nawapa mimba house maids.
Pole mkuu dunia ya Sasa jitahidi kuwaelewesha watu hata kwa kiwadanganya kuwatoa hofu usijifanye hutaki kufatiliwa ukiona hutaki kuchunguzwa kaishi porini
 
Kuna kipindi nilikuwa nafanya kazi online kutwa nzima nipo ndani na computer.
Majirani na ndugu wakaanza kelele eti sifanyi kazi nashinda ndani.
Nitakuwa nawapa mimba house maids.
Wengi ni wajinga wajinga hawaamini mtu unaweza kukaa ndani ukatengeneza mtonyo na ukaishi maisha mazuri.
 
Umbeya tu na roho za korosho, ukipenda kuchunguza mwanaume mwenzio anapataje pesa utakuja kutamani kuolewa siku moja.
Huyu fala ana wivu tu alikua anakulana na huyo kijana sasa kahamia kwa mwarabu anafokolewa huko ye anafungua thread hapa.
 
Japo nimechelewa ila huyo jamaa atakuwa anapakuliwa.
 
Nawe muombe akuunge ama akufundishe kabisa kuunga watu
 
HUMU WENGI HAMNA KAZI ZA HALALI, MNA MISHE MBOVU, HUYU NI MDOGO WANGU KAMA KAANZA KUIBA, USHOGA NK AKIPATA MATATIZO NANI ABEBE MZIGO WAKE KAMA SI MIMI, WHY NISIMCHUNGUZE MAPEMA?

WAHENGA WALINENA USIPO ZIBA UFA UTAJENGA UKUTA
huwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika mtandaoni naludi tena huwezi kumchunguza mtu kwa kumuanika direct mtandaoni..huna mbinu za kijasusi wewe wivu unakusumbua.
 
Sorry jinsia yako tuanzie hapo kwnz.
Kazi ni kipimo cha utu
 
mzee ww unachukulia poa au anavyokwambia anaunga watu MB ukafikiri MB za hii mitandao local kuna madogo wataalam wanaunga watu unlimited internet kwa watu wenye simu zinazo support E sim usikalili maisha
 
Kama hayakuhusu mbona umewashwa hadi kuja kutangaza huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…