Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Life ni kusapotiana, lengo la mkee kufanya kazi ni kusaidiana majukumu. Ungekuwa goli kipa, angejua huna ABC za kupata income. Na kazi yako ingekuwa ndoa tu, kumsubili yeye, kumhudumia yeye n. K

Sasa kama pesa yako huweki mezani, iingie ktk mzunguko wa familia, ameamua hiwe kwa matumizi yako binafsi. Hiyo ni fair sana.

Sasa kam hata kujihudumia, unataka tena aanze kila kitu yeye pesa yako wafanyia nini.

Kuweni fair, basi.

Mnataka 50/50 kwingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To he honest hajielew hata zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata mume wa hivo shukuru Mungu, na kama una kazi yako hilo jukumu Moja tena la kupendeza mwenyewe usaidiwe pia ? Dah, tuwaoneeni huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani, sasa hiyo salary utakua unaifanyia nini [emoji849] kweli nimeamini ndani ya nyumba mume akiwa na 200,000/= na mke ana 800,000/= jumla mna 200,000/= and not 1m[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona!!! Wanawake jamani ni shida!!

MWANAUME ANAHITAJI:

1. Kupikiwa
2. Unyumba
3. Kupumzika

MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:-

1. Mpenzi
2. Rafiki
3. Mshikaji
4. Kaka
5. Baba
6. Mwalimu
7. Bosi
8. Mpiganaji
9. Askari
10. Mlinzi
11. Mpishi
12. Fundi umeme
13. Fundi bomba
14. Mchungaji
15. Mzee wa kanisa
16. Shehe
17. Daktari
18. Mpambaji
19. Mwana mitindo
20. Modo
21. Mnyanyua vyuma
22. Fundi magari
23. Mwanasheria
24. Mhasibu
25. Fundi seremala
26. Mcheshi
27. Mwanamuziki
28. Muigizaji
29. Shamba boi
30. Fundi ujenzi
31. Msafi
32. Unajali
33. Mzazi
34. Mlezi
35. Mvumilivu
36. Mjanja
37. Mpole
38. Mkarimu
39. Msikivu
40. Mtunza siri
41. Mkweli
42. Kiongozi
43. Tajiri
44. Mpangaji
45. Mwana Michezo
46. Mtundu
47. Tegemeo
48. Jasiri
49. Mthubutu
50. Shupavu
51. Mwerevu
52. Muungwana

HAPO HAPO UNATAKIWA:-

53. Uwe Fundi kitandani.
54. Uwe unamtoa outing.
55. Uwe unampa pesa za kutosha.
56. Usimsumbue sumbue.
57. Usiangalie wanawake wengine.

HALAFU KUNA:-

58. Kumnunulia vizawadi zawadi hapa na pale.
59. Kumsifia alivyoumbika.
60. Kumsifia alivyopendeza.
61. Kumfungulia mlango, kumshikia pochi.

PIA USISAHAU:-

62. Siku yake ya kuzaliwa.
63. Kumbukumbu ya ndoa.
64. Siku ya valentine.

MUHIMU SANA, KUWA MAKINI:-

65. Jifunze kutoulizia chenji ukimpa pesa ya shopping.
66. Usipende kubishana nae kila kitu.

(Hayo ni baadhi tu mazee, nitaongeza mengine baadae).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Hii kweli kazi...badilishaneni majukumu sasa afu uone hali itakuwaje. Jribuni kubadilisha upepo kidogo.
 
Na ww unafanya yote hayo huridhiki acha ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…