Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Cresida,
Kuna wakati usiposikia shida za wenzio huwezi jua una mtu anayejali kwa kiasi kikubwa....

Anyway... BORA SHETANI UNAYEMJUA KULIKO MALAIKA UNAYESIMULIWA..
 
Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
Shemela, mshukuru Mungu kwa huyo.... umeandika kama vile hakuna huduma anatoa... HIVI WAKATI MNADAI USAWA MLIKUWA MNAMAANISHA USAWA UPI..?? Au mnataka wanaume tubebe mimba?
 
Achana nae huyu mtaka vyote,mtu gani haridhiki?
Labda kama huu uzi ni changamsha genge tu,ila kama ni kweli ndo yuko hivi basi mumewe ana balaa ndani ya nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…