Anafanya mwenyewe ananunua nyama mpaka ndimu na pilipili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe mmakonde nini?Na ikitokea nimenunua hela yangu airudishe.
Atafute mwanaume anayefanyia saluni,wale jamaa wakikongo wale anakua anampa papuchi kwa kubadirishana na kusuka au kuset nywele
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo siku hizi unaongea pumba sana🚮 itabidi tukuuzeNgoja waje kukupa muongozo
Mambo bebiUnajua mwanamke anaweza kuwa na pesa ya kutosha lakini akatamani biscuits ya efu 3 kutoka kwa mume/mpenzi wake
"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]ofcourse kuna raha yake kuletewa hizo zawadi,sometimes si mbaya,but isiwe kama jukumu lake asipoleta unanuna na huku bills zote zingine anaclear jamani( meals,school fees nk) na sisi tuwe tunawasuprise akina baba chanja kwa vizawadi pia, wanafurahi haoo Mara leo umeona saa ya laki 3 umemchukulia, Raba kali ya 100,000 hivi, mdada salary inaruhusu(Note:hizo gharama mi siwezi kununua lkn[emoji3][emoji3]).Best zawadi ya mme ni nzuri hata ukikutana na mashosti unaulizwa umenunua sh.ngapi? Jibu sasa baba chanja kaninunulia basi najua hata bei shostingo mie najua kuvaa wakikusifia kichwa hichooo[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa honey habari ya kwakoMambo bebi
Kama mwanamke ndani mama wa familia una kakipato ni vizuri mwanaume akaona nafasi yako sio adi matunda ya juice mume anunue, anapenda sjui roast maini yeye tuuu kila sku aje amebebelea, umekutana na vinguo vya watoto usichukue kisa mwanaume yupo khaaa! Inaboa mwanamke unakosa ladha kwa mume. BTW bado natafuta mimi 😥 😥 😥 😭😭😭😭Uzi wa kwanza, nimekutana na wanawake wanaojielewa, safi sana, vimatumizi vidogo unamaliza mwenyewe. Thamani yako Kwa mwanaume inakuwa, unatolewa kwenye level ya moja ya fenicha za nyumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kisicho na ak*l* ni mzigo kwa mwili.Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
I am here for you madam😊Kama mwanamke ndani mama wa familia una kakipato ni vizuri mwanaume akaona nafasi yako sio adi matunda ya juice mume anunue, anapenda sjui roast maini yeye tuuu kila sku aje amebebelea, umekutana na vinguo vya watoto usichukue kisa mwanaume yupo khaaa! Inaboa mwanamke unakosa ladha kwa mume. BTW bado natafuta mimi 😥 😥 😥 😭😭😭😭
Unaweza pia ukawa unapenda kulelewa, hiyo siipendiI am here for you madam😊
Kama pesa inaruhusu unaeza fanya nunua mara mbili kwa miezi 6 🤣 🤣[emoji3][emoji3]ofcourse kuna raha yake kuletewa hizo zawadi,sometimes si mbaya,but isiwe kama jukumu lake asipoleta unanuna na huku bills zote zingine anaclear jamani( meals,school fees nk) na sisi tuwe tunawasuprise akina baba chanja kwa vizawadi pia, wanafurahi haoo Mara leo umeona saa ya laki 3 umemchukulia, Raba kali ya 100,000 hivi, mdada salary inaruhusu(Note:hizo gharama mi siwezi kununua lkn[emoji3][emoji3]).
Sent using Jamii Forums mobile app