Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video,
FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why?

BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii wamefungiwa ila madirectors wa video wanaendelea kutoa video. makosa wana solve shallow sana. ili YAJILUDIE, amna depth, not everyone is involved. after few days mambo yale yale tena.

conclusion :

BASATA HAWANA KAZI, WANATAKA KUONEKANA WANAFANYA KAZI. KWA KUTOKUSOLVE MATATIZO PERMANENTLY. THATS ALL.
Takataka kabla hujaandika tuliza ubongo au uliza waliokutangulia kuliona jua wakupe mwanga
 
Jiulize:-
-msanii alikuwa haoni upotofu katika wimbo/video hiyo(ambayo mimi najua ni yake)?
-msanii akishamlipa director na wengine,Ina maana wote wanaumiliki wimbo/video?
-msanii hana akili ya kujitegemea/utashi wake hadi ahusishe makosa ya wimbo wake kwa watu wengine?
1. thats why all should be included.
2. you get paid for the work not creativity.
3. you cant do everything.
 
Ninachokiona ni kukwepa kuwajibika.Utunge wimbo mwenyewe,uuandike na kuufanyia mazoezi wewe mwenyewe.Umempelekea muongozaji kazi umlipe.Amekufanyia kadiri ya uhitaji wako mkamalizana malipo.Maana yake hahusiki tena.Hapo ni wewe na chombo ulichokitumia kuonesha.
 
thats how it works in modern world. unless some one sells his creativity ila akienda mahakamani huna chako. creators are owners
 
Umeandika kwa kizungu nimeshindwa kukuelewa.Kizungu chako kigumu sana kinahitaji tuisheni ya nguvu.Turudi kwenye kiswahili.
 
yupo right kwamba?? 🤔🤔 ameongea point??! i add you on the list.
Mhusika wa wimbo ni mwenye wimbo. Dunia nzima yeye ndo huwajibika. Director na crew yake hahusiki. Yeye anafuata maelekezo ya kile msanii anachotaka. Ndo maana hujawahi sikia wimbo wa Jituman na Director na crew yake. Utasikia wimbo Chawote wa msanii Jituman
 
Umeandika kwa kizungu nimeshindwa kukuelewa.Kizungu chako kigumu sana kinahitaji tuisheni ya nguvu.Turudi kwenye kiswahili.
dunia ya sasa ndo mambo yanavyoenda. aliye tengeneza sanaa ndo mmliki wa sanaa. so kama sanaa imetengenezwa na watu 10 basi watu 10 wote wamiliki, lakini kama kuna pre - deal/ huuzwaji wa sanaa /umilikishwaji wa sanaa, basi umiliki unaweza kuwa wa mtu mmoja au kampuni ila kwa makubaliano. ila mtu anaweza kwenda mahakamani kama sanaa yake imetumika ajalipwa.
 
Mhusika wa wimbo ni mwenye wimbo. Dunia nzima yeye ndo huwajibika. Director na crew yake hahusiki. Yeye anafuata maelekezo ya kile msanii anachotaka. Ndo maana hujawahi sikia wimbo wa Jituman na Director na crew yake. Utasikia wimbo Chawote wa msanii Jituman

sio kweli, unachojua ni uwongo au out of experience and out modern ways of contracts
 
Halafu mboba nyimbo ime trend kwa muda mrefu hivyo wanastuka leo au hile ishu ya tunduma wale walimu imewastua kuamka maana zuchu nae nyimbo zake ni za hovyo hovyo tu
 
dunia ya sasa ndo mambo yanavyoenda. aliye tengeneza sanaa ndo mmliki wa sanaa. so kama sanaa imetengenezwa na watu 10 basi watu 10 wote wamiliki, lakini kama kuna pre - deal/ huuzwaji wa sanaa /umilikishwaji wa sanaa, basi umiliki unaweza kuwa wa mtu mmoja au kampuni ila kwa makubaliano. ila mtu anaweza kwenda mahakamani kama sanaa yake imetumika ajalipwa.
Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu hilo?
 
Halafu mboba nyimbo ime trend kwa muda mrefu hivyo wanastuka leo au hile ishu ya tunduma wale walimu imewastua kuamka maana zuchu nae nyimbo zake ni za hovyo hovyo tu
nope, video which has alot of issues. with rape experiences being potrayed as norms.
 
Sieleweshwi na wapumbavu mimi. Idea ya wimbo + wimbo ni wangu, video ni Yangu, Location nachagua mimi, wewe kazi yako ni kushuti tu. Then afungiwe Director? Achana na matako tumia kichwa kufikiri POPOMA
Then kwa hoja hii directors hawana kazi wanalipwa kwaajili ya kazi gani? , msibishane kwa jaziba mueleweshane kwa utaratibu
 
sio kweli, unachojua ni uwongo au out of experience and out modern ways of contracts
Basi nimeshamaliza. Sisi watu wazima tulifundishwa zamani kuwa si sahihi kumwambia mtu mzima uwongo❌ ( iandikwe uongo✅) na wanaonifahamu watanishangaa sana kuona nabishana nawe. Its ok. You are right.
 
Back
Top Bottom