Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
- Thread starter
- #41
sorry aisee.Basi nimeshamaliza. Sisi watu wazima tulifundishwa zamani kuwa si sahihi kumwambia mtu mzima uwongo❌ ( iandikwe uongo✅) na wanaonifahamu watanishangaa sana kuona nabishana nawe. Its ok. You are right.
ila sio makosa kujua jambo kwa udogo hasa haya mambo ya sanaa. sheria zake. ngumu kueleweka.