Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Hii mi najua ilikua inawezekana tokea miaka ya 70 huko, , ila walikuwa hawafanyi kwa sababu za ethics.

Sikuizi hakuna ethics?
 
M
Mbona itakuwa mimba ya mateso
Ni kweli, ni mateso kisaikolojia ila yanavumilika na hayana maumivu.
Jambo la msingi naweza kumpeleka huyo mwanamke kwa wanasaikolojia kwa ajili ya kumjenga kimawazo na kimtazamo kwa kipindi chote cha ujauzito na baada ya kujifungua.
Jambo lingine ningependa nitoe ufafanuzi kwenye hii comment kwamba, mwanamke husika ataishi maisha ya kawaida kama kwenda beach, restaurant, sokoni n.k ila kwa uangalizi.
 
Duh! Kumbe atakua chini ya uangalizi wenu kama jela hivi?
 
Kwann Kwann umeamua kupata mtoto kwa njia hiyo?
 
Duh! Kumbe atakua chini ya uangalizi wenu kama jela hivi?
Sio kama jela, ila kwa usalama wake.
Pia atakua kwa uangalizi ili asijihusishe tendo la ndoa na mtu mwingine kwa kipindi hicho sababu, kidogo itamsumbua kisaikolojia sababu hatoruhusiwa kujihusisha na tendo la ndoa na mwanaume kwa kipindi chote cha ujauzito na baada ya kujifungua
 
Me ningekutafuta ila ndo hivyo tena mie sifa zangu ni mfupi,mweusi tii,chibonge lile puto la mloganzila linanihusu anyway labda upate wadada wa mjini lkn mwenye akili zake timamu mhh dau dogo sana kuacha damu yako ipotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…