Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Nimepitia na naendelea kupitia mengi sana ndugu yangu ni vile tu shida haziwekwi usoni inakubidi ucheke na watu maisha yaende..Nimepitia comments zako kwenye huu uzi, una comment kwa maturity sana, inaonekana maisha yamekufundisha sana