Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Ameen naimani weye sio gay Wala lesbian ni mwanandoa kamili unahitaji mtoto Ili mpate faraja kamili ,Mungu awafanyie wepesi mnooo
Hauna haja ya kufikiria kuhusu gay au lesbian, ila angalia mantiki nzima ya tangazo husika.
Baadhi ya watu wanajaribu kulieleza hili jambo kwa hisia bila facts.
Kuna mtu mmoja amejaribu kuuliza kwamba kama kuna yeyote humu anafahamu madhara ya kiafya yanayotokana na IVF kwa mwanamke atakayefanya ili watu wachukue tahadhari ila hakuna aliyejibu.
Bahati mbaya baadhi wamekuja kukashifu, dharau, matusi, kejeli n.k kwa hisia zao binafsi bila kutaja facts yeyote
 
Asante sana kwa maoni, ila hayo ni mawazo yako binafsi.
Kwenye kurutubisha yai lazima mbegu zangu zihusike kurutubisha yai la huyo mwanamke atakae kua tayari, hivyo huyo mtoto ni damu yangu.
 
Wewe umekosea. Unachohitaji ni surrogate mother ambaye anatungishwa mimba kwa njia ya IVF. Muwe mnauliza kabla ya kukimbilia kuandika na kupotosha watu na meseji zisizoeleweka
 
Wa Tz mnalet hoja za kitoto , Hilo ni swala la uhitaj wa MTU na ni la kawaid sana.

Nazan mkuu npo kwenye mambo mtoto wa kipemba akiwa tayar jiandae kumpangia dsm
Sawa ndugu,
Karibu sana, appartment full furnished ilishaandaliwa kwa malezi ya ujauzito.
 
Hahahaha i need money lkn after letting the baby go i will sufer mpk niingie kaburini au nipewe back the kid and the 25m will be used kunitibu
Itakua hujawah kupitia masaibu ya ulimwengu cos km kila unachokutana nacho unabeba kichwan asa utakua unaish maisha gan,learn to let go of some stuffs mamii
 
Kwamba bado hajapatkana tu Mkuu au unachuja uko PM
Watu wamenipa ushirikiano mzuri PM ndugu ila bado sijahitimisha kwa mtu mmoja sababu kuna ambao nasubiri picha zao n.k,
ilikua leo usiku ndio iwe mwisho wa mimi kusoma na kujibu ujumbe wowote mpya kwenye hili tangazo na PM,
ila sasa nitahitimisha kusoma na kujibu ujumbe wowote mpya kwenye hili tangazo na PM jumapili usiku ili kuwapa nafasi watu wengine waone hili tangazo weekend.
 
mkuu hii huduma naweza kuipata kutoka hospitali gani?
 
Kuna watu mnahukumu aiseπŸ™Œ..wewe unaweza kuexpose matatizo yako magumu kwa kila mtu?? Ndo maana alikua anasema ukiendda pm atakufafanulia...hivi kwani yeye hizo60m hazimuumi?? Dah...hii nchiπŸ™Œ
 
Kuna watu mnahukumu aiseπŸ™Œ..wewe unaweza kuexpose matatizo yako magumu kwa kila mtu?? Ndo maana alikua anasema ukiendda pm atakufafanulia...hivi kwani yeye hizo60m hazimuumi?? Dah...hii nchiπŸ™Œ
Kuuliza kwanini anafanya hiki kitu ndo kuhukumu??
Kukisia sababu ni kuhukumu??
Yeye kusema ana mke ni kuji expose matatizo??
Well yes kama ni upinde na hana mke atakuwa anaji expose otherwise I don't see the problem with him mentioning the wife.
Na kama wife yupo doesn't make sense why huyo mbeba mimba alee mtoto for a year!
Inshort maswali ni mengi, kama hataki maswali asingepost kwenye forum,
Hata hivyo nishamalizana naye maswali

BTW una uhakika yuko genuine au unaonea huruma 60M za kufikirika 😏
 
Tunapenda maoni na ushauri ndugu,
ila usimtuhumu mtu usiyemjua vitu vya uongo na uzushi kwa hisia zako binafsi.
Hilo jambo nilishakwambia ni hiari sio lazima sasa sioni sababu ya wewe kuendelea kuandika vitu visivyo na ukweli kwa hisia zako binafsi.
Hayo mambo ya upinde, mke n.k hayana mahusiano na hili tangazo.
Kama kukosoa ni vizuri ukakosoa jambo la IVF general kama lina kasoro, ila sio unafanya personal attack kwa kashfa na uzushi kwa mtu ambaye humfahamu na haujawai kumuona pia hajakuomba msaada wowote.
 
Pesa izoo wadada ila mtateseka kisaikolojia ,siku mwanao anakuja kuwa rais wa nchi we hujui
 
Haina uhusiano na tangazo?? huyo anayeenda kugawa mtoto ambaye hajui anagawa kwa nani naye mwendawazimu
Naona ume comment hapo kuna zoezi la kutumia picha sasa dada zetu pisi kali ndefu nyeupe zitume tu picha kwa mtu hawajam study, haya maswali ni ya kukusoma mkuu
Again sijatahumu niliuliza

BTW Tushamalizana si nimekwambia all the best πŸ˜ͺ
 
Asante kwa maoni ndugu,
ila tangazo lina kipengele cha malipo, masharti na sifa za mwanamke anayehitajika.
Hivyo ataeona inafaa atakuja PM ataeona haifai atakaa kimya kwa sababu sio lazima bali ni hiari.
Najua hii ni forum kila mtu ana haki ya kuchangia na kukosoa lakini tangazo linapokua na hiari bila ulazima tujifunze kuheshimu pia
 
Wape mtoto bana wacha neno hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…