dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
unamuuza mtoto m25 baadae katoto kanakuwa ka bakhera au dangote...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna haja ya kufikiria kuhusu gay au lesbian, ila angalia mantiki nzima ya tangazo husika.Ameen naimani weye sio gay Wala lesbian ni mwanandoa kamili unahitaji mtoto Ili mpate faraja kamili ,Mungu awafanyie wepesi mnooo
Asante sana kwa maoni, ila hayo ni mawazo yako binafsi.Unanunua mtoto kwa karibu milioni 60 unamtunza mpaka anafikia miaka 18 let say kwa milioni 60 nyingine halafu unamuuza kwenye black market kwa wanao harvest organs kwa milioni 600. Bonge la faida.. Mjini njoo na akili tu vingine vyote vitakuja vyenyewe
Wewe umekosea. Unachohitaji ni surrogate mother ambaye anatungishwa mimba kwa njia ya IVF. Muwe mnauliza kabla ya kukimbilia kuandika na kupotosha watu na meseji zisizoelewekaIVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Sawa ndugu,Wa Tz mnalet hoja za kitoto , Hilo ni swala la uhitaj wa MTU na ni la kawaid sana.
Nazan mkuu npo kwenye mambo mtoto wa kipemba akiwa tayar jiandae kumpangia dsm
Itakua hujawah kupitia masaibu ya ulimwengu cos km kila unachokutana nacho unabeba kichwan asa utakua unaish maisha gan,learn to let go of some stuffs mamiiHahahaha i need money lkn after letting the baby go i will sufer mpk niingie kaburini au nipewe back the kid and the 25m will be used kunitibu
Kwamba bado hajapatkana tu Mkuu au unachuja uko PMSawa ndugu,
Karibu sana, appartment full furnished ilishaandaliwa kwa malezi ya ujauzito.
Watu wamenipa ushirikiano mzuri PM ndugu ila bado sijahitimisha kwa mtu mmoja sababu kuna ambao nasubiri picha zao n.k,Kwamba bado hajapatkana tu Mkuu au unachuja uko PM
mkuu hii huduma naweza kuipata kutoka hospitali gani?IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
Tano gharama zote za hospital kwa mama kipindi cha ujauzito, mama na mtoto baada ya kujifungua zitagharamiwa na baba wa mtoto/watoto
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Hospital ya Taifa Muhimbili, Kairuki Hospital, SALI Hospital, nimesikia kuna hospital nyingine ipo Arusha jina Avinta care n.kmkuu hii huduma naweza kuipata kutoka hospitali gani?
Kuna watu mnahukumu aise🙌..wewe unaweza kuexpose matatizo yako magumu kwa kila mtu?? Ndo maana alikua anasema ukiendda pm atakufafanulia...hivi kwani yeye hizo60m hazimuumi?? Dah...hii nchi🙌The point sio IVF lasivyo angebebana na mkewe kimya kimya wakafanya,
The point is mtu atoe mtoto wake (yai lake) tena eti amlee mwaka mzima halafu amuachie,
People just have questions which he refuses to answer so tunabaki na viulizo wengine tumejiundia majibu yetu,
Mfano kakataa kusema kama hata ana huyo mke ndomana me nimewaza labda ni mwana upinde anataka mtoto sa sijui watu wanatoa wapi huruma kwani kasema ana shida!
Kuuliza kwanini anafanya hiki kitu ndo kuhukumu??Kuna watu mnahukumu aise🙌..wewe unaweza kuexpose matatizo yako magumu kwa kila mtu?? Ndo maana alikua anasema ukiendda pm atakufafanulia...hivi kwani yeye hizo60m hazimuumi?? Dah...hii nchi🙌
Tunapenda maoni na ushauri ndugu,Kuuliza kwanini anafanya hiki kitu ndo kuhukumu??
Kukisia sababu ni kuhukumu??
Yeye kusema ana mke ni kuji expose matatizo??
Well yes kama ni upinde na hana mke atakuwa anaji expose otherwise I don't see the problem with him mentioning the wife.
Na kama wife yupo doesn't make sense why huyo mbeba mimba alee mtoto for a year!
Inshort maswali ni mengi, kama hataki maswali asingepost kwenye forum,
Hata hivyo nishamalizana naye maswali
BTW una uhakika yuko genuine au unaonea huruma 60M za kufikirika 😏
My dearest buddy, huto tumilioni natutamani, natamani kama vingekosea njia viingie kwenye account ya binti yako wa kwanza..!!Carleen sikuoni mitaa hii buddy, hutaki kuona jinsi ambavyo Tz tunapiga hatua?😄
Haina uhusiano na tangazo?? huyo anayeenda kugawa mtoto ambaye hajui anagawa kwa nani naye mwendawazimuTunapenda maoni na ushauri ndugu,
ila usimtuhumu mtu usiyemjua vitu vya uongo na uzushi kwa hisia zako binafsi.
Hilo jambo nilishakwambia ni hiari sio lazima sasa sioni sababu ya wewe kuendelea kuandika vitu visivyo na ukweli kwa hisia zako binafsi.
Haya mambo ya upinde, mke n.k hayana mahusiano na hili tangazo.
Kama kukosoa ni vizuri ukakosoa jambo la IVF general kama lina kasoro, ila sio unafanya personal attack kwa kashfa na uzushi kwa mtu ambaye humfahamu na haujawai kumuona pia hajakuomba msaada wowote.
Asante kwa maoni ndugu,Haina uhusiano na tangazo?? huyo anayeenda kugawa mtoto ambaye hajui anagawa kwa nani naye mwendawazimu
Naona ume comment hapo kuna zoezi la kutumia picha sasa dada zetu pisi kali ndefu nyeupe zitume tu picha kwa mtu hawajam study, haya maswali ni ya kukusoma mkuu
Again sijatahumu niliuliza
BTW Tushamalizana si nimekwambia all the best 😪
Wape mtoto bana wacha neno hiyoHaina uhusiano na tangazo?? huyo anayeenda kugawa mtoto ambaye hajui anagawa kwa nani naye mwendawazimu