Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Mkuu umeleta uzi wako so tegemea kuulizwa maswali mengi....ungekuwa hutaki maswali ungeita watu pm uwaelezee hilo tatizo lako

Nashangaa unakuwa mkali[emoji848]
Niliemjibu alishanielewa na akakaa kimya,
Pia nakukumbusha kwamba sijaja hapa kueleza tatizo bali nimekuja kutoa fursa yenye malipo kwa mwanamke mwenye sifa nilizotaja pia mwanamke huyo awe tayari kwa hiari yake.
Hakuna sehemu niliyoonesha ukali ila nimekua najaribu kuwaelekeza watu kadiri ninavyoona inafaa.
Jambo lingine unatakiwa kujua kwamba hata kama hii ni forum huru ila unapoona jambo lina hiari unaweza kushiriki au kuacha sababu halikupunguzii kitu, ila endapo jambo lingekuwa ni lazima ndio hiyo mijadala ingekuwepo.
 
Lini hiyo mi nko tayari ,tena kwny urefu na maji ya kunde ndio penyewe,na nywele ya usinga atapata,akili ndo mahala pake,nicheck dm
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante kwa maoni ndugu, ila huo ni mtazamo wako.
Kuna vitu vingine viko juu ya uwezo wako penda kujifunza vitu usivyofaham.
Pia usipende kushinikiza na kukisema uongo kitu usichokifaham vizuri.
Wenzio hawahapa
Kumbe na wewe umeligundua hilo,simple tu huyu jamaa anavunjiwa mayai na magudume
 
Kwa kukubali tu hii offer inaonyesha huna akili tayari, kwa hiyo swala la akili litowe!!
🀣🀣🀣🀣🀣
Mkuu njaa ...mkuu njaa zinatoa watu fahamu
 
mbegu atatowa huyo mwanaume kwa kujichuwa?Kama ndiyo kwanini hadi kupandikiza kwanini wasifanye mapenzi?
 
Kila mtu yupo huru kufanya anachoona kinamfaa, hasa kama havunji sheria kwako na kwa ujumla.
Tusiwe wepesi kuhukumu, aliye mtakatifu ni Mwenyezi Mungu pekee.
Mkuu wewe si ulisema jana usiku ungefunga dirisha na kujibu watu ?
Be a man of your own words...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…