Acha kuwatumia watu kijanja ukishatengenezewa utatoa tena ingine halafu upate hela wewe ukitosheka unakimbia acha kutochora.Umeshafeli interview tayari, tatizo sisi waswahili tuna maneno/tararira nyingi kazi hatuwezi
Kumbe niwewe sijasoma ninani katoa post acha kuwaminya wamdogo sema hata 400,000 kwa mwezi bhana hali ni ngumu kazi sio rahisiHabari wakuu,
Anahitajika kijana mchapakazi mwenye ujuzi wakutengeneza video za katuni (animation). Kama una hicho kipaji,tengeneza 'clip' yenye maudhui yafuatayo na utume kwenye email: businessideas2f@gmail.com ,mwisho wa kutuma ni tarehe 30/09/2021; malipo kwa mwezi yataanzia 250,000/=
Maudhui:
Orange : Habari za asubuhi rafiki yangu mzee 'Mango'
Mango : Salama tu,umeamkaje, habari za tangu jana?
Orange: Mbaya tu, jana nilishinda njaa na hata leo sina uhakika wa kula...
Mango: Pole sana rafiki yangu,nitakupeleka kwa rafiki yangu mzee 'Lemon',alinidokeza nimsaidie kupata watu wa kumsaidia kuvuna mazao yake shambani, kwa ujira wa shilingi elfu tano kwa siku; nadhani kazi hiyo itakufaa....
Orange: Nashukuru sana rafiki yangu, hiyo kazi itanifaa hebu tufanye haraka asijeakapata mtu mwingine nami nikakosa kazi
Ujuzi sina wa hiyo fani, ila soko langu liko nje. Nikikosa hapa, nitaingia ubia na wachina/wahindi.Mi nadhani mtoa mada au mtoa kazi HAJUI kaz za animations znafanyikaje, gharama za kufanya hizo kazi zikoje, malipo kwa wanaofanya kaz kwny hiyo industry wanalipawaje na hata recruitment style ya animators inakuaje HAJUI. Sasa nnamashaka km hata anaelewa biashara ya animations inafanyikaje na ana mpango biashara wa namna gan kwa matarajio ya baada ya miaka mitano kampuni kukua.
Mi nimeona haya machache thread iendelee...!
Weka kazi, acha manenoAcha kuwatumia watu kijanja ukishatengenezewa utatoa tena ingine halafu upate hela wewe ukitosheka unakimbia acha kutochora.
Utaratibu huo hapa juu hutaki tambaa jomba
Fursa atakayoipata ndani ya miaka 5 kwa ujira huo mdogo, atajengewa nyumba, na atakuwa na usafiri wa kuanzia 20M. Muhimu ajue kuchapa kazi tu.Kumbe niwewe sijasoma ninani katoa post acha kuwaminya wamdogo sema hata 400,000 kwa mwezi bhana hali ni ngumu kazi sio rahisi
Kila la heri mkuu!Ujuzi sina wa hiyo fani, ila soko langu liko nje. Nikikosa hapa, nitaingia ubia na wachina/wahindi.
Tupende kazi kwanza na tuitangazie dunia nina uwezo wa kufanya hili jambo; pesa zitafuata, zitakuja nyingi tuMPUMBAVU kweli wewe! Hivi unajua gharama ya kutengeneza animation ya sekunde 10 tu? Eti umuajiri mtaalam wa animation kwa 250?? Project yenyewe unayoizungumzia ni zaidi ya 1m alafu eti mtu apoteze muda akutumie kirahisi rahisi tu bila contract akitarajia umlipe 250 mwisho wa mwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aise utaambulia vishoka lakini hakuna mtaalam utakayeambulia!
Nashukuru mkuuKila la heri mkuu!
Umeshafeli usahili tayariyaami kwa 250k yako mdo unataka nikutengenezee kazi yako sio uone kazi zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ndo mara ya kwanza nn kutafuta mtu wa kazi hizi ama
Kwa sababu wewe utakuwa umepata mara tatu au nne yakeFursa atakayoipata ndani ya miaka 5 kwa ujira huo mdogo, atajengewa nyumba, na atakuwa na usafiri wa kuanzia 20M. Muhimu ajue kuchapa kazi tu.
Wewe ndio muongeji mzuri kwenye biashara huyu anatafuta mtu wakumtengenezea bure kwa madai ni interview akishatengenezewa anasepa humuoni halafu anasema hajapendayaami kwa 250k yako mdo unataka nikutengenezee kazi yako sio uone kazi zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan ndo mara ya kwanza nn kutafuta mtu wa kazi hizi ama
Ndivyo biashara ilivyo, nipate faida nawe upate faidaKwa sababu wewe utakuwa umepata mara tatu au nne yake
Kwa mazingira haya, tusitegemee kumiliki viwanda; bora mapori yaendelee kuwepo tuWewe ndio muongeji mzuri kwenye biashara huyu anatafuta mtu wakumtengenezea bure kwa madai ni interview akishatengenezewa anasepa humuoni halafu anasema hajapenda
Hapa kwa hali ya tozo no more janja janja manipulation my dearKwa mazingira haya, tusitegemee kumiliki viwanda; bora mapori yaendelee kuwepo tu
Fursa atakayoipata ndani ya miaka 5 kwa ujira huo mdogo, atajengewa nyumba, na atakuwa na usafiri wa kuanzia 20M. Muhimu ajue kuchapa kazi tu.
Ujuzi sina wa hiyo fani, ila soko langu liko nje. Nikikosa hapa, nitaingia ubia na wachina/wahindi.
Nishakamilisha kazi yake, nimekuja kuchukua e mail, cha ajabu nilipokutana na hii comment yako, nimeghairi!Wewe ndio muongeji mzuri kwenye biashara huyu anatafuta mtu wakumtengenezea bure kwa madai ni interview akishatengenezewa anasepa humuoni halafu anasema hajapenda