Anaitwa Queen of Darkness ndie awapae nguvu za Giza wasanii wakubwa

Ndio maana sishangai vyuo vikuu kukuta mtu kakata gogo halafu akasepa bila kuflash.
True kwa sababu ya familia aliyokulia,sasa kijijini mtu anakata gogo porini kwenye nyasi anasepa atawezaje kuflash akija mjini
 
Huyo ni gwiji kwenye hayo mambo ya mitindo. Sema yeye na mumewe kama mazombi vile.
 
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
Yeah sure
 
Hivi nyie walokole jamani walokoleeeee mkoje nyinyi?
 
We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
Yeah
 
Hivi nyie walokole jamani walokoleeeee mkoje nyinyi?
Chukua hio Tomaso mcheki ndugu yako huo soon atapididiwa ili awe juu ndo ujue who own music.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_092410.jpg
    372.2 KB · Views: 1
T
 
Kwan kipofu uyaoni kwenye tv
Manini hayo?

Mimi sijui na sioni nataka unithibitishie hilo maana Tanzania sisi ni mabingwa wa kutengeneza conspiracy theories sana....

Ukiwa na pesa waliofeli watakuita freemason....

Ukiwa na fame kubwa utaambiwa ni devil worshiper

Yaani kiufupi watu wanataka uishi kama wanavyo taka wao...

Kuna kipindi Nasibu alijua kwamba asilimia kubwa ya wabongo ni wajinga na wapumbavu hivyo kwa sababu naye anapenda kutrend akawa anavaa nguo nyeusi na gloves nyeusi basi kila page za udaku na watu wavivu kufikiri wanampeleka mjini utasikia ni masonic yule huoni hata mavazi yake....

Usiingie kwenye huo mtego unless uwe unaweza kuthibitisha hilo....

Tutafute life tu mkuu tuachane na haya makasiriko ya kuhisi kila ambaye ana fame, kila ambaye anafanya kazi na Fulani basi ni masonic...

Maisha sio rahisi hivyo na ukiangalia majority ambao tunakomaa sana na hizo story ni sisi watu wenye kipato cha chini kwa sababu huwa tunatumia kama execuse na sehemu ya kujifariji kwa kutokuwa na good life kama wao.
 
Pumbavu!
 
Ujinga umeutoa X/Twitter umeuleta huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…