min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Ndio maana sishangai vyuo vikuu kukuta mtu kakata gogo halafu akasepa bila kuflash.Utishwe na nini kwani we ni mgeni kwenye tv uoni yanayoendelea kwenye music
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana sishangai vyuo vikuu kukuta mtu kakata gogo halafu akasepa bila kuflash.Utishwe na nini kwani we ni mgeni kwenye tv uoni yanayoendelea kwenye music
True kwa sababu ya familia aliyokulia,sasa kijijini mtu anakata gogo porini kwenye nyasi anasepa atawezaje kuflash akija mjiniNdio maana sishangai vyuo vikuu kukuta mtu kakata gogo halafu akasepa bila kuflash.
Yeah sureWe uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
Hivi nyie walokole jamani walokoleeeee mkoje nyinyi?Mafasheni yao Yale ya kichawi chawi au mamiziki yao Yale ya nguo nyeusi mziki hauna maana lakini unawika huyu bibi ndo ana boost.
So hawa wakina madale kwenda bagamoyo sio ajabu ndo music ulivyo.
Kwa sababu music ni ibada, music unabadili tabia za watu, music ni ujumbe
YeahWe uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
Chukua hio Tomaso mcheki ndugu yako huo soon atapididiwa ili awe juu ndo ujue who own music.Hivi nyie walokole jamani walokoleeeee mkoje nyinyi?
TKuna watu wanajiulizaga zile nguo za ajabu ajabu za wasanii katika majukwaa na safari za kimataifa wanazitoaga wapi au wanaiga wapi? Ukweli ni kwamba fani ya mitindo kidunia ni kati ya fani zilizotawaliwa mno na nguvu za g!za(kuz!mu)
Pichani ni mwanamitindo mwenye nguvu zaidi ulimwenguni Michele Lamy raia wa Ufaransa. Huyu bibi kwa jina jingine anaitwa "Hollywood Witch with black fingers".
Lamy ndio mwanamitindo mwenye nguvu zaidi ulimwenguni na ndio anayewavisha mastaa wakubwa zaidi ulimwenguni. Page hii maarufu zaidi kwa sasa tz "Dunia Ina Mambo" imefatilia kwa kina kukupa haya usiyoyajua. Anatajwa kama mwanamitindo mwenye mafanikio makubwa zaidi ulimwenguni ambaye pia amewahi kukiri hadharani kwamba HAMUAMINI MUNGU.
Kiufupi huyu ni moja ya mawakala wakubwa wa jumuiya za siri na kila msanii anayekatiza katika mikono yake lazima nyota yake iwake kwelikweli duniani kote. Taarifa zaidi kuhusu maisha yake nmekuekea link hapo chini kwenye comments
Baadhi ya wasanii waliopita mikononi mwake ni Kim Kadarshian, Travis Scott, Usher Raymond, P. Diddy, Cardi B nk
Kimsingi mikataba mingi ya umaarufu wanayopitia wasanii maarufu ulimwenguni ina mambo ya siri ya kutisha nyuma ya pazia, umaarufu sio rahis na kwa upande mwingine ni hatar!
Mabrand makubwa yote ulimwenguni ya mitindo yanahusishwa na mambo ya giza, kwa wale mnaopenda mabrand bila kujua fuatilieni mtakuja kunishukuru
Kanye West aliwahi kukiri mikataba hiyo ya umaarufu na utajiri huusisha kuuza nafs! zao.
Inatisha aisee
Huyu bibi ni noma kwenye mambo yetu Yale ya usiku ana mabogidiwasionekana.
Wasanii wetu wawahi kwake wakachukue upako watoboe
Picha zaidi kwenye comments
Huyu sio kwamba ndiye mwenye uwezo wa ku control industry, Bali yeye ni fashionist ambaye anatumia maudhui au mitindo ya kishetani.
View: https://x.com/0ccultbot/status/1867142049566503216?t=_j9eckdaP-q86amA5sp-kg&s=19
Unaweza kuprove?Sio story, that is real
Kwan kipofu uyaoni kwenye tvUnaweza kuprove?
Mawakala wa shetani hamkosekani. Mpo kila sehemYaleyale manadharia yakipuuzi!
Sio mazombi, ni wajumbe wa kuzimu kabisa.Huyo ni gwiji kwenye hayo mambo ya mitindo. Sema yeye na mumewe kama mazombi vile.
Manini hayo?Kwan kipofu uyaoni kwenye tv
Pumbavu!We uoni maudhui ya music ni kumtukuza zaidi shetani.
Music una nini zaidi ya ngono, uchawi, ishara za mason ic tupu,pombe,Bata,ugomvi,kukaa uchi.Hii miziki yao wewe una gain nini cha kushape mind yako kwa mfano zaidi ya uchafu na kuua tu brain yako I think negative
Ni Dili shetani ananufaika kwa kumsaidia kuibomoa jamii n wewe una nufaika kwa kupata pesa.Ni dirty game.
kengeMawakala wa shetani hamkosekani. Mpo kila sehem
Ujinga umeutoa X/Twitter umeuleta huku.Kuna watu wanajiulizaga zile nguo za ajabu ajabu za wasanii katika majukwaa na safari za kimataifa wanazitoaga wapi au wanaiga wapi? Ukweli ni kwamba fani ya mitindo kidunia ni kati ya fani zilizotawaliwa mno na nguvu za g!za(kuz!mu)