Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

Nimejaribu kusoma ili nione kosa la Roma lakini sijaliona,
 
Hii ndo Tanzania... fuatilia huo wimbo wa Roma allimba enzi za Mkwere, laiti km angeimba enzi hizi angekuwa marehemu saivi. Nchi hii yetu site, tuvumiliane, na Roma hajaanza leo kuimba hizo nyimbo za aina hiyo
 
Jamani mwenye wimbo anitumie nimefeli kuupata
Ingia google search download roma - anaitwa roma,, zitakuja link fungua ya kwanza tu itakuletea sehemu ya download, (ninge share link hapa ila nahisi ni kama jf walishakataza ku share link)
 
Kasoma nyakati au wewe mleta uzi upo nje ya wakati.
 
Angeweza kuwasilisha huo ujumbe kwa namna nyiingine na ungefika,haya mambo ni hatari
 
Chutama ....
 
Kuna jamaa humu ameleta uzi wa kumtisha mwanamuziki na mwanaharakati musiki R. Mkatoliki eti kwamba watamuonesha sasa sijui alitaka Roma aimbe wimbo gani sasa.

Mimi mbona nyimbo za Roma ni cha mtoto jaribu kumsikiliza na huyu anayejiita mzalendo ungeweza pata tofauti kati ya Roma na Mzalendo. Na mwisho kama unahisi kuusikiliza musiki wa Roma au Mzalendo unaumia moyo, ushauri wangu wa bure ni kwamba wewe uwe unaangalia tbc 1 huko ndiyo kuna zenye kufurahisha ila huku kwingine kuna kuelimisha, kuburudisha, kufundisha na kuonya pia.

Sasa sijui uta waonesha wangapi mkuu.
1. Mzalendo



2. Mzalendo



ROMA

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…