Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Humu ndani kumejaa vijana waliofundishwa na mitandao ya kijamii! Hujui maana ya mahari nyamaza! Hiyo hela unayotoa kwa familia ya binti unayetaka kumuoa ina jina maalumu inaitwa "mahari". Ukilipa mahali unafungulia lidhaa ya wazazi wa binti kumuachilia binti yao kwa baraka zote na muwe na uhakika mtabarikiwa katika ndoa yenu na uzao wenu. Naweza kulinganabisha "mahari" na "sadaka" unayotoa kwa Mungu wako! Kama hujui maana ya sadaka (japo nayo ni hela) huwezi kujua maana ya "mahari". Tafuta kuwa na amani na familia ya binti wakukabidhi binti yao kiroho safi! Tumia busara hata kwa kulipa kidogo kidogo kuliko kushupaa! Ndo nyingi mnazoingia vijana mnaanza kwa laana ndo maana mnashindwa kuishi na wenza wenu! Povu ruksa!
 
Nilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.
Huyo katoa mimba zote hizo anakupenda kweli huyo,na kama wewe ndio chanzo cha kutoa humpendi
 
Wewe huna hela wewe!
 

Huo ujinga hatufanyi, na hatuko tayari kuendekeza tamaduni zilizopitwa na wakati. Kujielewa kwa mwanaume hakupimwi hivyo nyakati hizi.

Utampata Mwanaume mwenye pesa atakubari na kutoa mahari na bado asiwe anayejielewa na mwenye tabia mbovu.

Mahari haina msaada wowote kwa wanandoa, Yani namaanisha haiwasaidii chochote.

Haileti furaha
Haileti upendo
Haileti Amani
Haileti pesa
Haileti Afya
Haileti Elimu n.k

Kwa sasa tunadeal na vitu vyenye faida zinazoonekana na sio simulizi
 
Wakoloni wanaulizana mlipambana msiwe watumwa WA kuuza binadamu kama nyanya. But now mnauzana vile vile walivyokuwa wanafanya wao kwetu. Mahara ni biashara ya UTUMWA
 
Lipa mahari uchukue mke
Hiyo unayotaka wewe itakuja kukutesa
Kama hujalipa mahari kimira na desturi watoto ni Mali ya kikeni na huna sauti.
Je, utakubali?
Huo utamaduni wa kijinga umepitwa na wakati. Hauna faida yoyote
 
Sawa utatuonesha mume wako tumfahamu. Na tumuulize kama alikukuta Bikra
 
Mahari inashida gani?! Nipe sababu za msingi ili ifutwe leo.
Ingekua na maana ungekua ni utaratibu wa dunia nzima,ila magharibi mwa dunia hakuna uo utaratibu tena wao wny vipato vya kati,ila huku ambako mtu yuko na mwanamke miakaa miwili wanaishi wote wanaamua kurasimisha kwa ndoa mzazi anataka mahari,Ilitakiwa jamii ijue mtoto wa kiume akitaka kuoa ni heshima kwa familia ya binti na kwake pia,means hakuna haja ya mahari bali sherehe ya kumuaga binti atleaast inamake sense
 
Kaka yangu Kiranga naomba usome hapa. The real meaning of mahari na sio kukaa mnawaharibu vijana eti wakimbie mahari

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi bado mnaishi maisha ya kijima hamjamaliza hata shida za kula mavi na kupata kipindupindu siwezi kutegemea muweze kuelewa hii dhana.

Ila baba yenu Nyerere aliielewa, akajaribu kuwafundisha, naona hamjaelewa somo.

"Nyerere Describes Bride Price as "evil" in Posthumous Bio".

 
Mimi nilikuelewa muda sana mkuu.

Hii kitu kwasasa haina umuhimu unaotajwa hapa.
 
Nyerere neno lake na misimamo yake sio sheria. Kwanza ilitokana na mambo aliyekumbana nayo.

But alipinga Ila kipindi anamuoa Maria alilipa mahari.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilikuelewa muda sana mkuu.

Hii kitu kwasasa haina umuhimu unaotajwa hapa.
Katika jamii zetu, wanawake wengi wanapenda kujiuza, na baba/kaka/wajomba zao wanapenda kuwauza.

That is the long and short of it.

Msikilize Mwanafalsafa wangu Mbaraka Mwinshehe anaelezea sakata.

 
Kabisa mkuu na hiyo elimu yake itamnufaisha yeye mwenyewe na wanae atakao wazaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…