Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Nothing to add, umemaliza Kila kitu
 
Angekuwa mume wangu hata mil 10 angetoa na hata akishindwa angefanya negotiations, SI mtu wa kukata tamaa kirahisi, Mungu akuweke mume wangu
 
Achana nao hao mkuu, njoo nikupe dada yangu bure kabisa hata zawadi hatutaki maana anakunywa gongo, anakula ugoro, kuberi, anavuta bange, shisha na tumbaku ambayo haija chakatwa na anawatoto wanne mkuu tunakupatia wote bureee....[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeonesha dharau ya hali ya juu kwa huyo binti kana kwamba wewe hutokuja kuzaa na kuwa na familia.
Natamani huyo binti apate mwanaume sahihi wa kumuoa.
 
Iwe ng'ombe au iwe cash...kosa ni kwann mwanamke auzwe?
Mimi hata nkiwa bakhresa sitoi hata 100 ya mahari
there is always simple solution to difficult issues......kaa bila kuoa. Kuwa bachela si kosa kisheria. Nenda RITA utapewa hadi cheti cha bachela. You will be a certified bachelor.
Lakini kudhani utaoa mke bila kutoa cho chote huko ni kujidanganya na ujinga wa level ya uprofesa. Endelea kuoa/kubadili machangudoa wa mitaani kila siku. Lakini ujue hata ukitaka kumuoa huyo changu, akikupoleka kwa wazazi wake lazima utalazimika kutoa kitu.
 

Kwa iyo hata hela ya salon humpi kisa wote mnafanya kazi? Ndo maana anakubaliana na baba yake mahari iwe kubwa
Afu achaneni nyie hampendani kama unampenda mtu huwez sema kuna wanawake kibao wanataka kuishi naww… ACHANENI [emoji4]
 
Wewe ndo akili yako imeishia hapo...sisi malegend tunajua namna ya kufanya kupata wife bure kabisa.
 
Hawa viumbe wameshafanya hilo tundu mtaji wa maisha sasa hivi
 
Je kipimo cha kupima kama mwanamke yupo tayari kuwa mama ni kipi
 
shukrani au zawadi ndio mil 6 pesa haitafutwi ili ikatawanywe hovyo, mi sikatai suala la mahari lakini isiwe ya kukomoa
 
Acha uoga nenda kawasikilize watakwambia mahari kiasi gani negotiation si inaruhusiwa jamani[emoji849]Halafu kutoa mahari n lazima sio ombi .
 
MSidanganyane huko mlipo, siyo wote wanaoendekeza huo utindiga wa kuwapiga minada mabint zao. Tena wazazi wengine kuondoa nongwa za ndugu wengine wanakwambia wewe waahidi tu kuwa utatoa shughuli inaishia hapo.
Ninyi endeleeni kupangiwa bei za wake zenu, na bint yako na dada yako pangeni kabisa bei zao kabla hamjawaswaga kuwapeleka minadani
 
sasa unaharisha nini, nend akwa hao wazazi ukaoe burebure, shida iko wapi?
 
Wewe ndo akili yako imeishia hapo...sisi malegend tunajua namna ya kufanya kupata wife bure kabisa.
sasa unacholalamikia na kulialia kuhusu mahari ni nini ikiwa unajua wapi utaoa burebure kama vile unachukua changudoa?
 
Watu wa jf bwana, its like we live in a different planet. Kwamba 6m kwenu ni pesa ya mboga tu? Kwamba anayetoa mahari ya 2m na anayetoa ya 10m mmoja ana thamani kuliko mwingine? Sasa kumbe kula na kunywa kushukuru wazazi kwa malezi kuna thamani tofauti?

You guys amuse me!!,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…