Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment


Ukikua utajua
Sasa soma tuu utulie
 
Well said!
 
As a woman namuonea huruma huyo dada. Mahari kweli ni kubwa ila kuwa na mwanaume anakwambia kabisa nenda wakuoe sijui sitoi mahari aisee mimi nisingegeuka.

Ila mtoa mada, ni kwamba hutaki kabisa kutoa mahari hata ingekuwa laki? Umetisha [emoji23]
Mwamba ametisha kwakweli
 
Yaani ungesma unatoa,ningekuzaba makofi hapa hapa. Yaani unelewe mabaki ndo uyalipie!? Af na bado washkaji hawajatoa hata elfu 20 wakabanjue na wenyewe. Hapana. Mahali yanayokubalika,kama walopita na watakaopita wote watachanga sawa,toeni. La si hivyo! Hamna kutoa. Kitimoto bora kuliko mwanamke
 
Ukimpa mimba unaoa bure sema vijana wa siku hizi hamjiongezi
Piga mimba chukua aje akae kwako.

Endelea vuta siku. Mwaka wa 1 mahari milion5 endelea endelea kuvuta siku mwaka 7 huu hapa ndiii!!, Mahari 200k

Kwisha habari yao, hii gemu ya saikolojia na muda. Muda ndio mwalimu mzuri kuliko wote.
 
Ukimpa mimba unaoa bure sema vijana wa siku hizi hamjiongezi
Hahahahaa niliitumia hiii,nilimuunyosha Baba mkwe.Nilipiga ya kwanza akakaza mwanae hatakii nimchukue! Nikaona mi Mgoni Toka Natal region SA Sina vita ndogoo. Nikampiga Cha pili manzi yangu! Hatariii Baba alinimwambia mwenyewe nenda huko kwa Ntu Yako.

Mpaka Leo Miaka 20 ya ndoa yetu nakula vitu safiii....ila sema nilikuja kuamua mwenyewe nikampiga pesaa Baba mkwe. Vijana wa Leo hawana mbinuu sijuiii....
 
Bikra pekee ndo inasababisha mahari kuwa juu kwa mwanamke.....ogopa matapeli
 
We maskini umekuja na waraka hapa kisa mahari ya 6M ndo inakufanya umchambue mtoto wa watu hivo,inaonekana hujielewi na nafasi ya mwanaume haikufai.
Ok tupe mrejesho,
 
Nilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.
Hizi siri haziletwagi huku mdogo wangu.
Kumbuka hamko vitan kwamba mnabomoana.
Hii issue nawe inakutafsiri.
Mahari lazma utoe sema kiwango ndo ujengee hoja.
Kwa simulizi hizi ndo tunaona madhara ya Gen Z isiyo na mila wala desturi.
Nawashauri wanaume ..Oa kwenu au kabila lako utunze heshma na watoto wawe na ID ya asili yao hasa LUGHA!
Kuna elements zikikosa kwenye ndoa au kutovaana hasa dini, lugha, mila na tamadun,.. inakuwa kama nyumba iliyojengwa juu ya mchanga!
 
Ulichoandika kinaweza kuwa na ukweli ndani lakini mahari ya 6m ukiingiza shamba ndani ya miaka mitatu inaeza kukuingizia more than 20m sasa huyo mwanamke hela yote ya nini na kuachana ni bure tu yaani akijisikia tu kukuacha anakuacha

Kwanini huyo baba kama anajitambua asikuachie hiyo 6m iwe kama mtaji wa kujenga familia imara wewe na mwanae?

Mahari ikizidi 1m ni kukomoana labda kama wote mmeshajithibitishia kwamba ukwasi upo wa kutosha

Mzazi anataja hela nyingi kama anamuuza mtoto alafu kesho na kesho kutwa akisikia mtoto kazuiwa na mumewe kwenda kuwasalimu anaanza ku-panic
 
Kwaiyo Wewe unakubali kumlipia mwanamke milion 6 mahari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…