Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Wanataka wapewe mahari milion sita alafu bado wajikute wana utawala kwa mtoto wao kuliko wewe na bado eti wakipata shida liwe jukumu lako la lazima (as if wao hawana mtoto wao wa kiume)
Aliyeleta huu ufala sijuw aliwaza nn
 
Imagine unaolewa na mwanaume wa hivi
 
Wanataka wapewe mahari milion sita alafu bado wajikute wana utawala kwa mtoto wao kuliko wewe na bado eti wakipata shida liwe jukumu lako la lazima (as if wao hawana mtoto wao wa kiume)
Aliyeleta huu ufala sijuw aliwaza nn
Kama anataka huyo mke atoe hiyo mahari, aache kuruka ruka. Kama hana hiyo 6 mil Hilo ni tatizo lake na familia yake ya kimaskini. Biblia takatifu imetuonesha ilivyo vigumu kupewa mtoto wa watu. Jamaa alipiga kibarua Cha kuchunga mifugo miaka Saba kisa apate mke. All else aoe Kwa kufuata Mila za kiarabu, Huwa wanapeana Bure maana huoana ndani ya familia hiyo hiyo.
 
Hata iweje binafsi siwezi kumlipia mtoto wa mtu 6M,na bikra katoa fala tu ambaye kagaramia simu ya laki na nusu na bolt. Halafu uboya zaidi unakuja wazazi tu wamekaa wakakuona ndezi wanaamua wakupige 6M, UONGO brother !
 
Brother, marrying a non virgin is the highest fraud against men in the 21st century.

Why should an innocent man pay in full for what another man open for free? It's not a fair play. A woman is no longer a virgin doesn't deserve to have a bride price.

In the ancient virginity is one of the first criteria for marrying any woman. During those days the standard was rigid. No virgin, no bride price.

This days women no longer care, they are not concerned, sexual purity is no problem for them, they know that after open legs nation wide, they will still find a man who will pay their bride price in full.

Mother's are no longer interested in the chastity of their daughters. Virginity is downplayed in the Society because men are now willing to accommodate such compromise.

As a man know that body counts matters, and also her past, judge a women harshly by her body count and past before committing to them at least this will give some ladies sense to frown at promiscuousness.

Men needs to protest and stop paying bride price in full for any woman who is no longer a virgin because it's wickedness for a man to pay in full for what he did not open.

Some ladies who are communities whores, still thinks they are entitled to full bride price payment. Some families who knows that their daughters are Chief prostitute still expect an innocent man to pay heavily on her head, what a wicked world for men.

She's no longer a virgin but her bride price lists can feed two communities, this is totaly bullshit.

Men must awake, before you start arranging paying full bride price for any woman, consider if she worth it, judge her by her past, her body counts, attitude, submission etc, they higher the damages, the more reason you need to abort mission.

Sorry for using english unajua nikishakua na serengeti lager kadhaa kichwani nasahau kabisa kiswahili.
 
Mbona kushindwa mahari hakuna uhusiano na malezi
 
Mambo ya mahari yamepitwa na wakati
 
Kwahiyo kama wewe ulitoa mil 10 unataka na wenzio watoe hiyo sio
 
Hilo jambo la mtu kuolewa bila mahari mbona limekuuma mkuu
 
mmmh hatarii mkuu inpity watoto watakaotoka kiunoni kwako
 
Cha ajabu umri wa mabinti ukiwatupa mkono wazazi wanatamani atokee tu mtu amuoe binti yao kishkaji
 
Acha kulalamika mahari kubwa ni utapeli
 
Piga chini mara moja, watakuja wajinga walokole wataingia kichwa kichwa wakichangiwa na waumini wenzao kanisani. Ndoa ni maelewano tu, unauziwa mwanamke ili iweje?
 
Kwahiyo kama wewe ulitoa mil 10 unataka na wenzio watoe hiyo sio

Wewe oa mwanamke unayeweza kumuoa kwa mahari na matunzo.

Ukikutana na mahari ukaiona ni kubwa usilalamike wala kukasirika.....tafuta saizi ya uwezo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…