Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Huyu inaelekea hata mwanaye wa kike hawezi kumpeleka kindagathe ya m2 kwa mwaka
 
Hivi wewe pimbi unajua gharama ya kumsomesha mtoto wa kike mpaka umemkuta anafanya kazi!
 
Nami nimewahi oa bure kwa miaka miwili chuo. Sikulipa chochote tulipanga Changanyikeni miaka miwili. Halafu kuna mtu kwa mwanamke huyo anaenda lipishwa mahari
Ndo hapo mkuu, yaani utoe 6M kwa mtu kama huyo kweliii??
Kwa wazazi waelewa wala huwa hawadai mahali kiivyo, ila watasema uende wakujue na watakutajia mahali rafiki ambayo huwa haiishi.

Kwa nnavofahamu mahali huwa haiishi maana kama umetajiwa 3M then ukatoa cash 3M ni dharau inakua kama umemnunua mtoto wao.
Ila 6M ni parefu mno kwa chombo used.
 
Hivi wewe pimbi unajua gharama ya kumsomesha mtoto wa kike mpaka umemkuta anafanya kazi!
Kumsomesha ni wajibu wa mzazi, kwahiyo akimsomesha ndo aje alipwe kupitia mahali??

Nyie ndo wazazi wa hovyo mnaosomesha mtoto ili sio aje kua na maisha mazuri baadae bali aje kuwasaidia nyie na umaskini wenu mlioshindwa kujikwamua. Mnamuweka mtoto kama asset, asome aje awape hela nyie kindezi tu.
 
Ungetafuta watu ukaenda kwao,huko ndio ungejua ukweli,sasa unaanza kugombana na binti,ambae hata mahali hapangi
 
Lipa mahari reasonable, usiseme hulipi kabisa
 
Umepanik tu bure, hata ukiambiwa mahari million 20, unasema sawa,.unaenda na lak 6 na unaomba ndoa, imetoka hiyo. Km mnapendana mahari haiwez kuwa kikwazo.

Haijawahi kutokea mahari ikawatengenisha wawili wanaopendana
 
Umepanik tu bure, hata ukiambiwa mahari million 20, unasema sawa,.unaenda na lak 6 na unaomba ndoa, imetoka hiyo. Km mnapendana mahari haiwez kuwa kikwazo.

Haijawahi kutokea mahari ikawatengenisha wawili wanaopendana
Kabisa
 
Hili swala la mahari linapotoshwa, msemaji ni muolewaji, why baba aseme mahari yeye ndio unaemuoa, atasema kamlea, kamsomesha, je hicho kiasi ndio kinaendana na gharama zake, na je akishakupiga kiasi kirefu, ndio mmemalizana, isipigwe simu sijui mdogo wake kakwama ada, niongezee.

Mahari anataja muoelewaji, ni zawadi yake toka kwa mume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…