Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

"Sasa maisha ya humo ndani yashamshinda/amechoka na kuondoka hawezi mila zao hadi azae na huyo bwana tena mtoto wa kiume ndiyo atoke[emoji23]"

Hio mila nzuri sana hakuna kuachana mpaka unizalie tena mtoto wa kiume dadeki[emoji3]

Ina maana hilo kabila lina uhaba wa wanaume au?
 
Huo ndio uanaume hujamkuta bikra NGOMA used why baba yake ataje mahari nyingi ivyo BILA AIBU , wewe endelea na msimamo wako m6nyingi mno kwa life la SASaivi
 
Ukweli mtupu.
 
Isitoshe kuna room ya kuomba punguzo la mahari. Wengi tumeoa na mahari tumelipa kwa instalment. Huyo ni mzinzi tu kama alivyo huyo mchumba wake. Binti makini asingekubali kumegwa na mhuni huyo tena nje ya ndoa.
 
Sijui, mila yao ndiyo hiyo,ukila mahari na ndoa imekushinda hauondoki hadi uzae tena wa kiume.
 
ndoa ni makubaliano baina ya watu wawili wewe na huyo dem, kuna sitori jamaa fb alikuwa anataka ushauri jamaa alipenda mwanamke ,saa kila akienda kufatilia kulipa mahari baba yake anataja mahari kubwa.kufatilia jamaa siku moja akawafuma wanakulana.kwa hiyo kuna wazazi wengine wa hovyo.chakuku shauri we toa mahali kutokana na makubaliano yenu wawili,zamani au usukumani wanatoa ngombe mia kulingana amemukuta binti huyo ni bikira, thamani ya mwanamke tangu zamani ni bikira yake,kwani gari mpya inabei yake na gari chakavu ina thamani yake,labda awe ameangalia kaz yake ,je ushawahi kula hata mia iliyotokana na mshahara wa huyo binti?
 
Mzazi aliweza kumlipia ada m2 kwa mwaka mwanawe una mwita maskini,
Wewe ndiyo lofa unayeona m5 ni big Hela fala wewe!!!
Wiki iliyopita nilikuwa kwa send-off bwana harusi alikuwa amelipa mahari m8,
Ila baba Binti alitoa zawadi ya nyumba mpya yenye thamani ya m100 na hati ilionyeshwa live majina Yao wote wawili!

Acha ushamba na mawazo ya kimaskini kama ulipotokea
 
Unachotetea ni nini sasa?? Mbona hujielewi we dogo.
Unataka mzazi arudishe gharama zake au dada zako walipiwe mahali kubwa? Kwahiyo hiyo 8M ndo gharama za kumlea huyo binti mpaka anaolewa??

Mahali sio kurudisha pesa uliyoitumia kwa binti yako, elewa kwanza maana yake sio unaropoka tu. Madogo wa 2000 shida sana nyie.
 
Kama ni kweli basi upo sahihi kupinga hilo ila sio kwa maneno hayo makali mzee😁, Ungemwambia tu mimi mahari uwezo wangu nitaweza kwa kiasi kadhaa kama ikizidi hapa basi haitokuwa riziki yangu.... The way umeongea na huyo pisi ni kama unamdharau sana.... Pesa sio kitu hao viumbe akikuelewa mbona anaweza hata kukupa hiyo hela ukamlipie, Njoo tukupe lecture malume.
 
Ulianza vizuri ila umemaliza vibaya. Mahari inakupa ufahari flani hivi huwezi ufahamu mpaka uwe mwanaume kamili.

Mahari na makorombwezo yake yasizidi mil 2.

Ukishatoa mahari unakua na sauti kamili kwa mkeo. Sio unabeba binti wa watu bila mahari kisha akienda kwao kusalimia kidogo tu unaanza leta masharti ya kumpangia siku ya kurudi.

Huyo binti haujampenda umemtumia weee umemchoka umanza kumletea pigo za haukumkuta bikra,mbona kabla ya kuongelea ndoa haukumuuliza masuala ya bikra
 
Kama huna sauti huna tu. Mimi nakataa kutoa mahari. Na nimempa options mbili.
1. Akubaliane na Hali
2. Aondoke akatafute wa kumtolea mahari.

Nataka nioneshe nina sauti kamili na aamue kunisikiliza au kusikiliza wazazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…