Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Nasema hivii :Huna lolote! It's either hauna hela kama unavojigamba,au wewe ni mbinafsi sana!Mnajidai mmesoma halafu elimu yenu haiwasaidii kufit kwenye jamii[emoji15]Angekuwa dada yako ungekuwa unapayuka hivyo?Mahali zilikuwepo ,zipo na zitaendelea kutolewa.Kama nyie wasomi mavi mnadhani hazina umuhimu hameni kwenye jamii zenu,mhamie pengine mkaaanzishe jamii mpya na msitoze mahali watoto wenu watakapozaliwa.Lakini as long as mnaishi kwenye makabila hayahaya ya Tz,mahali mtatoa,au mpoteze heshima.Mkwe ambaye hajatoa mahali si mkwe.NAKUULIZA,kwa ubinafsi huo utaweza kutunza familia?Hovyo
 
Ungejua nafasi yako kama mwanaume unayetegemea kuanzisha familia itakayokutegema kama mkuu wa kaya kuna vitu ungevitazama kwa jicho la tofauti sana.

Yaani umemchambua binti watu kiasi hicho!? Hapo kisa sio mahari tuu! Hayo maneno yameonyesha ulivyo na roho chungu na mbinafsi.

Kama hakufai si umwache? Au ukiambiwa umwoe bila mahari ndio unamwona mwanamke bora??

Tafuta wakubwa wakueleze maana ya mahari watakuambia Mahari ni kipimo cha kujua kama mwanaume yuko tayari kubeba jukumu la ndoa na familia.

Halafu ukiwa mwanaume ukapangiwa mahari kitendo cha kuikubali tuu ni alama tosha kwamba wewe ni mwanaume mwenye kujielewa, mpambanaji na mpiganaji. Mahari unaweza kulipa yote mahari unaweza lipa kwa awamu.

Halafu, Kama mahari imekushinda utaweza kulea mke na watoto?
Mmmmmh!?!? Eeheehe! Mmmh!? hiki ulichoandika atakuelewa mtu aliye jengwa kiakili katika miaka ya 80's na wachache katika nyakati hizi walahi vile tena ukizingatia hivyo viwango vya mahali vyenyewe, maana navyoona inaitajika Imani tu kuamini kwamba nikilipa mahaliali basi inaonesha naweza kummuda mke na watoto
 
Kwenye hii Dunia ya Sasa,mzazi kutaja mahari zaidi ya milioni ni kama unataka mwanao azalie nyumbani.

Kuna wazazi Wana tamaa kiasi kwamba anamwona mwanae wa kike Kama bidhaa ya thamani itakayogombaniwa sokoni Kisha auze kwa Bei mbaya.
Na wakati wahuni wanaigalagaza Kwa 20k, 50k tu alafu mahali iwe milioni na usheee si Bora tuendelee Kuila Kwa 20k maramojamoja
 
Maneno ya kishenzi yalojaa ushuzi humshushia mtu thamani, mwanamke mdomo wake ulimponza

Anapromoti mahali ili mitaa imseme kua ye ni super wa familia , dawa yao ni kubadilika tu.
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
WW komaa na msimamo wako hivohvo. Wnataka hela nyingi za mahari afu ukioa yanakua mizigo tu ndani....Mimi sitachkua mia kwa mkwe wangu, inshalah
 
Sawa lakin isipangwe na mwolewaji,mwanamke hawezi kukaa anarudiarudia jambo ili kukuvuta nawe ukaingia King, tofautiana nae ili ajue kuna mambo kibao ya kufanya baada ya mahali
Ungejua nafasi yako kama mwanaume unayetegemea kuanzisha familia itakayokutegema kama mkuu wa kaya kuna vitu ungevitazama kwa jicho la tofauti sana.

Yaani umemchambua binti watu kiasi hicho!? Hapo kisa sio mahari tuu! Hayo maneno yameonyesha ulivyo na roho chungu na mbinafsi.

Kama hakufai si umwache? Au ukiambiwa umwoe bila mahari ndio unamwona mwanamke bora??

Tafuta wakubwa wakueleze maana ya mahari watakuambia Mahari ni kipimo cha kujua kama mwanaume yuko tayari kubeba jukumu la ndoa na familia.

Halafu ukiwa mwanaume ukapangiwa mahari kitendo cha kuikubali tuu ni alama tosha kwamba wewe ni mwanaume mwenye kujielewa, mpambanaji na mpiganaji. Mahari unaweza kulipa yote mahari unaweza lipa kwa awamu.

Halafu, Kama mahari imekushinda utaweza kulea mke na watoto?
 
uwiiiiii nongwa nongwa nongwa hwangue nongwa huno!

alisikika Mbena mmoja aliye ugigida ughimbi!
😅😅😅
 
Wavulana bado mna mengi ya kujifunza.

Kazi yenu kuu ni ujuaji na ubishi usio kuwa na mbele wala nyuma.

Yani mtu kama wewe kuwa na mke ni matusi kwa taasisi ya ndoa.

Shenzi kabisa!
Acha hasira, usitake kila mmoja awe mburura kama wew, system ya maisha ina vitu kibao vinavyopaswa kufanyika baada ya mahali, mwanamke awaset wazee ili kukupiga nawe uingie mzima mzima?
 
Mahari sio mtaji
Mahari ni shukrani ya heshma
Hivi unadhani wewe ungekuwa na hela kama Mo ungepewa mahari wewe ungifanyia nini kama ni shukrani ya heshima?

Mahali hupokea familia duni na watu maskini, Nina dada lakini najiuliza ikitokea anaolewa hiyo maari itanisaidia nini au heshima ipi unayoisema nitaipa
 
Hizi ndoa za mahari kubwa na sherehe kubwa mara nyingi m majanga,

I still thank my wife, maana alipambana kwao mpaka mahari ikawa 500,000.

Mwambie mke what you can afford, ni kazi yake na familia yake kumsupport kumake sure ndo inakuwa smooth kabisa.
Yani mahari nayo ni mapambano asee
 
Humu ndani kumejaa vijana waliofundishwa na mitandao ya kijamii! Hujui maana ya mahari nyamaza! Hiyo hela unayotoa kwa familia ya binti unayetaka kumuoa ina jina maalumu inaitwa "mahari". Ukilipa mahali unafungulia lidhaa ya wazazi wa binti kumuachilia binti yao kwa baraka zote na muwe na uhakika mtabarikiwa katika ndoa yenu na uzao wenu. Naweza kulinganabisha "mahari" na "sadaka" unayotoa kwa Mungu wako! Kama hujui maana ya sadaka (japo nayo ni hela) huwezi kujua maana ya "mahari". Tafuta kuwa na amani na familia ya binti wakukabidhi binti yao kiroho safi! Tumia busara hata kwa kulipa kidogo kidogo kuliko kushupaa! Ndo nyingi mnazoingia vijana mnaanza kwa laana ndo maana mnashindwa kuishi na wenza wenu! Povu ruksa!
Yaani we ndo punguani kweli,tena watu km nyie ndo huwa mnajazana kwa Mwamposa na sadaka zenu za kujimaliza,eti mahari ni km sadaka ili ubarikiwe,ubarikiwe nn sasa!! Kwmb binti ambae ni yatima baraka zitatolewa na nani?!
Acheni kuzeeka na ujinga wa kurithi huo,badilikeni
 
Acheni kuzeeka na ujinga wa kurithi huo,badirikeni
 
Back
Top Bottom