Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

unaonekana ni binti uliyetulia sana , mwenye maono na ndoto kubwa, kaza moyo kubali ukweli achana naye, anza upya, ,mtangulize Mungu, epuka sex kabla ya ndoa hilo ni shimo, karibu pm tuzungumze
 
Na Mimi niliamua kufanya hivyo ila unakuta najisikia vibaya yaani natamani angenijali tu… unajua nyie wanaume hamjali kuhusu body counts zenu ila kwa wanaweke ni tofauti kuongeza body counts huwa inauma sana ndio maana unakuta tunavumilia mtu mmoja ni aibu aisee
NAKAZIA

Na uzi ufungwe,jishikize ukiwa unasubiri kupata bwana atakaekuwa na vyote unavyovitaka
a
 
Afu hii tabia ya kutokumtafuta mtu pale tunapotoka kuonana hata mimi huwa ninayo yaan huwa nasahau hata kuuliza vp umefika salama,mpaka wao ndo huwa wananipigia
Ni tabia mbaya.. unaonesha kutokujali kama mtu atapata tatizo njiani huna taarifa si vyema
 
😂😂😂😂😂😂😂 Usimsanue bana
 
Anaeijua thamani yako ni wewe mwenyewe kwahiyo kama hakujali sidhani kama anakupenda, yupo nawe kwa sababu akikosa kwa wengine kwako ni chap.
Ni kweli…. Kabisaa na sasa ameanza kuning’aniza tuishi pamoja nimemwambia haiwezekani mpk tuoane anasema tutapanga mbeleni lakini kwa namna alivyo sioni muoaji kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…