Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Nawe si una wazazi? Acha kuwafata fata watoto wa watu🤣🤣Hapana mkuu ana wazazi asinipe majukumu Yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe si una wazazi? Acha kuwafata fata watoto wa watu🤣🤣Hapana mkuu ana wazazi asinipe majukumu Yake
Anatoaga tu mwenyewe bila kuombwa wala kuambiwa,. Anajua majukumu yakewewe upo wapi..?
Babe naomba hela.Sahihi kabisa mkuu,
Hii tabia ya kuandika magazeti nilikuwa nayo pia, badae nikagundua ninavyoandika sana, ananichukulia poa na ndezi sana.
Jamaa angeenda simple tu, naomba...Kwa leo sina, naomba 20k...unatuma 10k na kukaa kimya. Hivyo yani.
vijana wanajigeuzia makali sio poavijana watajichukulia sheria hadi viganja viote sugu
AhsanteBabe naomba hela.
Ukiongea sana anajua [mwanamke] unaitaka ila hela huna tena wewe ni mwana Pangu pa kavu ti!!Sahihi kabisa mkuu,
Hii tabia ya kuandika magazeti nilikuwa nayo pia, badae nikagundua ninavyoandika sana, ananichukulia poa na ndezi sana.
Jamaa angeenda simple tu, naomba...Kwa leo sina, naomba 20k...unatuma 10k na kukaa kimya. Hivyo yani.
Nikwasababu umemroga lee!, mganga wako ni fundi..🤣Anatoaga tu mwenyewe bila kuombwa wala kuambiwa,. Anajua majukumu yake
Wala siwezi kumroga kijana wa watu,. Ni vile tu kila mmoja anacheza nafasi yake vizuriNikwasababu umemroga lee!, mganga wako ni fundi..🤣
halafu mi nikajua huna nilitaka nikuchumbie! hii tunaiitaje sasa ni kimeumana au kimekamatana.??
Mimi siamini kwenye kuchelewa naamini kwenye kuitumia nafasi, tutaonyeshana ufundi wa kuiamsha mizimu!.. ukiona hamuelewani jua kenzy ashaweka vinyamkela vyake kwenye penzi lenu!. si unasikiaga tu hirizi zinazopumua!, jiandae kukutana nazo hii vita imeingia mshawasha!Wala siwezi kumroga kijana wa watu,. Ni vile tu kila mmoja anacheza nafasi yake vizuri
Wewe umeshachelewa😑
Em jaribu kwanza tuoneMimi siamini kwenye kuchelewa naamini kwenye kuitumia nafasi, tutaonyeshana ufundi wa kuiamsha mizimu!.. ukiona hamuelewani jua kenzy ashaweka vinyamkela vyake kwenye penzi lenu!. si unasikiaga tu hirizi zinazopumua!, jiandae kukutana nazo hii vita imeingia mshawasha!
Jamaa kwa anavyoonekana mzigo anautaka ila shida ipo kwenye kulipia (eiza hana pesa au anaona anapigwa).Mpe kila anachohitaji kwenye choo mpakie "MKONGO" siku nyingine hakuombi hovo maana anajua atailipia.
kwisha habari yako ndo unamajibu mazuri namna hii!..😂Em jaribu kwanza tuone
Mkuu umejishusha sana vyeo ulivyokua unatoa ushauri, ukiona mwanamke hauendani naye kitabia ni busara zaidi kumpotezea, yeye ndo aandike essayHuyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Hawa wanaitaga "baba" wengi ni single mother au wako floor ya 3+ so be aware wanaomba kama hawaombi 😂🤠Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Hahakwisha habari yako ndo unamajibu mazuri namna hii!..😂
Aisee, watu sikuizi wako serious😂😂😂😂kuna hii ng'ombe hapa inaokba hela kibabe, sijui inanichukuliaje ila pisi za arusha bana sijui zinavutaga bangiView attachment 3183927