Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

Unazingua..wewe ndio unampenda zaid uyo mwanamke kuliko yy anavyokupenda ndio maana unalialia...ulimbahatisha wap?..
 
Kakubeba vitu kalikuwa katabia kangu somewhere nkajishtukia nkaacha
 
Unatoa matumizi? au unata kula tu
 
[emoji2]
 
Mwanamke yuko sahihi hawezi kukufanyia hayo maana haujamuoa
 
Oya...wekeza kwenye kusaka fedh. Achana na hayo mambo
 
Ukiona hivyo kishaona jua limeanza kuzama upande wake na akifanya masihala anamwendea kwa babu.Yaani type hizo ukitaka kuwaacha unaenda nao mdogo mdogo baadae anashtuka kishaachwa.
Ukiona hivyo kishaona jua limeanza kuzama upande wake na akifanya masihala anamwendea kwa babu.Yaani type hizo ukitaka kuwaacha unaenda nao mdogo mdogo baadae anashtuka kishaachwa.
Hasa kama umefanikiwa kujenga nyumba hata kama ni chumba na sebule. Wanaume wengine wanaondoka na nguo tu nyumba anakuachia kuepuka vita.
 
Kuna anachotafuta, akipata hicho cheti utakoma! Inaashiria sio ubavu wako uliopangiwa na Mungu, ushukuru ameonyesha makucha mapema.
 
True. Mfano kama binti ana jeuri ya kukutukana sasa hivi wakati hujamuweka ndani, je siku ukijichanganya na kumuweka ndani itakuwaje? Ndiyo atabadilika? Kama anakuonyesha kiburi na kutojali sasa hivi vipi huko ndani? Halafu unakuta jitu limeng'ang'ania tu utafikiri huyo mwanamke yuko peke yake hapa duniani. Trash [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…