Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahhahaaa anakuoa huyo!Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhahaaa anakuoa huyo!Analazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Ukiona hivyo kishaona jua limeanza kuzama upande wake na akifanya masihala anamwendea kwa babu.Yaani type hizo ukitaka kuwaacha unaenda nao mdogo mdogo baadae anashtuka kishaachwa.Wewe ni mtu huru, usilazimishwe kufanya maamuzi usiyoridhia nayo. Utumwa ulikomeshwa miaka 100 iliyopita.
Kakubeba vitu kalikuwa katabia kangu somewhere nkajishtukia nkaachaHii situation nilishawahi kuiona. Kuna sampuli ya chuo ilikuwa ikija weekend kuchill from Friday to Monday. But nikanotice tabia kama hizo.
Ilikuwa kwanza ina ulafi wa kijinga sana. Imagine sampuli inapiga ile chupa ya coca-cola ya lita 2 yote bila mimi kunipa collaboration yoyote.
Yaani anakata chupa nzima ile kuanzia asubuhi hadi jioni chupa inakuwa tupu. Ukiweka vitu vidogo vidogo kama bites akiwa anaondoka anapakia kwenye pochi chupa mbili za takeaway soda, mara abebe sijui nini. Nikahisi pengine ni kukosa pocket money nikawa nampatia ila wapi.
Sasa nikaja kujifunza kuna watu wako poor na empty in home training. Hawakufunzwa ukarimu na kujali wengine. Pia hawakufunzwa au kuelewa manners ili kubehave vizuri.
Unatoa matumizi? au unata kula tuNilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
[emoji2]Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Ha Ha wanaume wa kizazi kipyaAnalazimisha kwa kuniambia mimi ni halali yake.
Nilimpigia jirani yangu simu akaniunganisha naeUnazingua..wewe ndio unampenda zaid uyo mwanamke kuliko yy anavyokupenda ndio maana unalialia...ulimbahatisha wap?..
Mmmh tatizo lilianzia hapa..ni dem wa jirani yakoNilimpigia jirani yangu simu akaniunganisha nae
ShukraniOya...wekeza kwenye kusaka fedh. Achana na hayo mambo
Ukiona hivyo kishaona jua limeanza kuzama upande wake na akifanya masihala anamwendea kwa babu.Yaani type hizo ukitaka kuwaacha unaenda nao mdogo mdogo baadae anashtuka kishaachwa.
Hasa kama umefanikiwa kujenga nyumba hata kama ni chumba na sebule. Wanaume wengine wanaondoka na nguo tu nyumba anakuachia kuepuka vita.Ukiona hivyo kishaona jua limeanza kuzama upande wake na akifanya masihala anamwendea kwa babu.Yaani type hizo ukitaka kuwaacha unaenda nao mdogo mdogo baadae anashtuka kishaachwa.
Wengine wapo kwa ajili ya training, na experience tu.Duuuh wanaume wengi inaonyesha hamjui logic ya Mungu kuumba wanawake wengi kuliko wanaume
Hili swali naliandikia thread kabisa Sky. Nitakutag...Muulize ana x-mass ngapi tangu a balehe?
😂😂😂Hili swali naliandikia thread kabisa Sky. Nitakutag...
Unafikiri akipewa jibu la ukweli atafurahi?
True. Mfano kama binti ana jeuri ya kukutukana sasa hivi wakati hujamuweka ndani, je siku ukijichanganya na kumuweka ndani itakuwaje? Ndiyo atabadilika? Kama anakuonyesha kiburi na kutojali sasa hivi vipi huko ndani? Halafu unakuta jitu limeng'ang'ania tu utafikiri huyo mwanamke yuko peke yake hapa duniani. Trash [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Nilichokigundua mimi ni kuwa watu wengi wanafanyia makosa hapa,anagundua kuwa mpenzi wake ana mapungufu kabla hata hawajafunga ndoa ,lakini anajipa moyo kuwa atakuja kubadilika mbele ya safari wakati kiuhalisia ni kuwa tabia haina dawa,na ukijidanganya kufunga naye ndoa juwa kabisa kuwa utakuja kulia mbele ya safari...