Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Mimi nilimpiga marufuku mpenzi wangu kupost picha ya mtu yeyote yule mwenye jinsia ya kiume hata akiniambia ni ndugu yake au mdogo wake sitaki kuona huo ujinga.

Hakuna cha urafiki wala undugu baina ya jinsia ya kiume na mwanamke hiyo nilikataa na bado nakataa mpaka na leo na ole wake aende kinyume ni kupiga chini
 
SULUHISHO KUTOKA KWA BABU YANGU

miaka na miaka mababu na mababu walikua na mke zaidi ya mmoja
-mke mkubwa akileta chokochoko usimjibu, usimtukane, usimpige, nenda kalale kwa mke mdogo
-huwezi shindana na mwanamke bila kutumia akili, ukizingua atakuzidishia hasira mara 1000x zitakuua
-kama ameamua kuliwa nje mwache focus na alietulia muhimu tu asipigwe miti nyumbani kwako
-kama mke mdogo na mkubwa wote wanagawa nje tafuta mke mwingine lakini usifukuze waliopo labda wakimbie wao
NOTE; tafuta kipato cha uhakika hii ni lazima hii ndio ilimuwezesha babu yangu wa kizazi cha 13 kuwa na wake 5.
 
Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili, kama akili yako ni ndogo kama mtoa mada, don't risk!
 
Mkuu hiyo familia inafanya makosa makubwa na inajenga roho ya ajabu kwa watoto wao, mfano watoto wakike wa familia hiyo wakija kuolewa wataendelea kuwafanyia matendo mabaya waume zao kipindi wakiwa kwenye hari ngumu ya kiuchumi.
Noted mkuu! Hakika nimekuelewa!
 
Ninini maana ya hasira?
Jibu- hasira ni kuumia kwa upumbavu wa mtu mwingine. Broda ukoa roho yako wala ucjidharau wewe bado mzima na una akili timamu. Kilichotokea ni kupitia tu kwenye kipindi cha majaribu. Nachokuhakikishia sio kipindi kirefu. Nakushaur umwambie unavyoumia kwa kile anachofanya halafu Mpotezee. Usimwache ila jihadhar ucmfikirie utajikuta unapoteza focus yako ya namna ya kutoka hapo. Jipange muombe Mungu yote yanapita. Kila mtu kapitia hapo.
 
Wanaume tumeumbwa matesoooo mateso kuhangaika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚​
 
Huna mke hapo acha kujipa moyo, ondoka haraka tena timua mbio
 
Huyo lesho anakuja kutafuta mme tena kwa tabia hizo huyu ni shetani hawexi kukubeba wakati wa shida anatoa wapi nguvu za kuposti ujinga huo .Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…