Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Wao ndio wana matatizo mimi nikiona mwanamke hana adabu na haishi kulingana na misingi yangu hapohapo nampiga chini.Kufanya maisha wengi huoni kama una tatizo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao ndio wana matatizo mimi nikiona mwanamke hana adabu na haishi kulingana na misingi yangu hapohapo nampiga chini.Kufanya maisha wengi huoni kama una tatizo?
Mkuu wanawake wanaroga sana.Mimi naomba usiniweke kwenye hilo kundi wa watakaolia sana.
Katika maisha yangu mwanamke hawezi kuniendesha hata kidogo
Mimi nimerogwa sana ninachoshukuru sijawahi kujihusisha na hizo mambo kwa hiyo sijawahi kurogekaMkuu wanawake wanaroga sana.
akikusikiliza wew mwanamke bhasi angeumbwa demu tujue mojaa...!! huyo mwanamke ni kufukuzaaaaVitu vidogo kama hivyo sio vya kumind, pambana kiume.
Huu ushauri umekaa kimaleya maleyaVitu vidogo kama hivyo sio vya kumind, pambana kiume.
Itakuwa unavutiwa na wasio na adabuWao ndio wana matatizo mimi nikiona mwanamke hana adabu na haishi kulingana na misingi yangu hapohapo nampiga chini.
Noted mkuu! Hakika nimekuelewa!Mkuu hiyo familia inafanya makosa makubwa na inajenga roho ya ajabu kwa watoto wao, mfano watoto wakike wa familia hiyo wakija kuolewa wataendelea kuwafanyia matendo mabaya waume zao kipindi wakiwa kwenye hari ngumu ya kiuchumi.
Ninini maana ya hasira?Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Ni wanawake wachache wenye adabu dunia ya leoItakuwa unavutiwa na wasio na adabu
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Wapo wengi tu.Ni wanawake wachache wenye adabu dunia ya leo
Kwa mimi asipokuwa na adabu ni kupiga chini hapohapoWapo wengi tu.
Sio wanaume wote wanaopaswa kuonyeshwa adabu au kuwatii. Respect is earned.