Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Kutafuta fedha siyo suluhisho bro...solution ni kupata mtu atakayekupenda kwa kila hali na mali...pesa huuisha mzee...what's next si utapitia tena haya..
ndugu hawa jamaa wanapenda PESA na si vinginevyo!
ukiwa na fedha watakwambia sio wanakupendea fedha zako ila kwakuwa unajali na sababu ziko wazi ukiwa na fedha lazima atakuwa na marafiki wenye fedha hivyo network yake itakuwa juu na si kama ulivyomtoa.
hicho ndio kilichopo kwenye sakafu ya MOYO wao!
ukikkosa fedha masimango yao ni bora uchukue mkopo wa kausha damu kwa kuwa kila rafiki yake na anayekutana naye ataambiwa yaani huyu mwanaume michosho tu jasho tu! namlisha namvisha hana chochote!
 
Mdundo wa Netflix unajua
(Dudumuh!)
Mapicha picha yanaanza soon stay wake up bro Tafuta namna yakufanya bro mi sijaoa sina uzoefu na ndoa ila nakushauri tafuta namna ya kushinda janga hilo uku JF utachanganyikiwa bure
 
BABA ALINIAMBIA TOFAUTI NA RAHA YA TENDO LA NDOA.
KITU PEKEE MWANAMKE ANACHOWEZA KUKU OFFER NI MAUMIVU.

YAANI UKIACHA KUMNYANDUA KITU ANACHOWEZA KUKUPATIA PIA NI MAUMIVU.
 
Wee unawajua wanawake. They only think about themselves. Very very selfish hawa viumbe.
Ukifulia ndio utajua tabia ya mkeo kwa kweli. Wao ni kuanglia ndalama tuu
 
BABA ALINIAMBIA TOFAUTI NA RAHA YA TENDO LA NDOA.
KITU PEKEE MWANAMKE ANACHOWEZA KUKU OFFER NI MAUMIVU.

YAANI UKIACHA KUMNYANDUA KITU ANACHOWEZA KUKUPATIA PIA NI MAUMIVU.
Aisee mzee wako alikupa ushauri bomba sana. Kweli he was a dad!
 

Huyo mwanamke si mtu wa subira! na wala si material
-Siwezi kusema umuache No
-Ulivokua unamuoa nadhan ulitambua madhaifu yake?? Ni muhimu kurudia vile viapo vyako kujiweka imara!! Lakin kama n mwelewa ongea nae na picha anayoonesha ikiwezekana ongea nae ujue kama bado anahitaji ndoa au Lah

Kuwa na mwanamke asiye na iman au kuridhika na familia ni hatari sana.

Kama hawezi badilika Basi unaweza ukajizima data ukafanya huoni au husikii! Lakin hapa kwanza lazima uwe umeviapa viapo vyako vy ndoa kwa kuvirudia ndipo unaweza kupata hiyo courage
 
Kila mwenye mafanikio makubwa Kuna mahali anacho chanzo cha mapenzi makubwa. Huwezi kufanikiwa kama hupendwi. Unahitaji sio wawili au watu.. ila mtu mmoja tu anayekupenda kwa Moyo wake wote.

Ndg yetu Yuko mahali pabaya..na anaweza asifanikiwe hata kidogo...ukiachilia mbali kuwekeza jitihada kubwa kwenye utafutaji. Ni lazima ahakikishe anang'amua ni wapi anapendwa kwanza..kama si nyumbani kwake atawanyike mara Moja
 
Nimesoma kwanzia page ya 1_13 nimepata kitu.

kama huna pesa tani moja na kuendelea usioe.
 
Hukuona shida? HUKUONA SHIDA?

Mpaka hapo deal done huna chako. Hypergamy is in play.
 
huyo ni mke ila siyo mke mwema. ni hatari kwa afya yako
 
Pengine umri wa ninyi kuingia ndoani mmefosi. Au umri uko sawa akili ndo hazijakomaa
 
Hali hii inafanya wanaume wawe mafisadi kwa sababu hizi hizi.. 😁 wanachetusha pesa za kampuni na umma ila naye anunue gari..

Rushwa inaanzia ndani..😁 kijana mdogo mshauri mdogo baby wake anataka gari.. what's next?. 😁
 
Kataa ndoa oyeee
 
Mvumilie tumia hizo hasira kutafuta pesa zako ukishazipata na wewe anakujenga urafiki na wadada wenye biashara zao uwe unawapost status ukiwapongeza akikuuliza muonyeshe hizo post zake za washkaji wenye magari.
 
Wanaokataa ndoa wana hoja wasikilizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…