Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,116
- 4,979
ndugu hawa jamaa wanapenda PESA na si vinginevyo!Kutafuta fedha siyo suluhisho bro...solution ni kupata mtu atakayekupenda kwa kila hali na mali...pesa huuisha mzee...what's next si utapitia tena haya..
ukiwa na fedha watakwambia sio wanakupendea fedha zako ila kwakuwa unajali na sababu ziko wazi ukiwa na fedha lazima atakuwa na marafiki wenye fedha hivyo network yake itakuwa juu na si kama ulivyomtoa.
hicho ndio kilichopo kwenye sakafu ya MOYO wao!
ukikkosa fedha masimango yao ni bora uchukue mkopo wa kausha damu kwa kuwa kila rafiki yake na anayekutana naye ataambiwa yaani huyu mwanaume michosho tu jasho tu! namlisha namvisha hana chochote!