Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Mkuu hapo "Mens" sema tu "Men". Milenia hii mna changamoto sana yaani sijui tuko kwenye Ruhamo wa Ruwaza (Paradigm Shift)? Na hii ndiyo imekuwa new normal! Vijana mnakimbilia sana kuleta na kuanika matatizo yenu ya ndoa kwenye mitandao! Ina maana siku hamna washenga au Wazazi wa kuwaweka chini na kusuruhisha matatizo yenu? Mnajichoresha! Mwingine juzi kaja kuanika hapa eti amegongewa mke na mke amehama chumba! Karne hii vimama vinawapitisha kwenye tanuru la moto mpaka mseme!
Sasa mtu miaka 29 hana kazi anakimbilia kuoa.. matatizo mengine ni ya kujitakia
 
Hivi hawa wanawake wa namna hii mnawatolea wapi aseeeh?! Maelezo yako yanaonesha wazi kua huyo mwanamke hafai kua mke. Mke wa mtu anawezaje kupost upuuzi kama huo,... before sijasoma adi mwisho nilijua ni demu wako mmeachana ndo anafanya ivyo japo hata demu hawezi kua na sifa hizo. In short hafai kua demu achilia mbali mke kabsa
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Huyo mwanaume aliyepostiwa ana uhusiano gani na mke wako?

Ongea na mke wako vizur muoneshe jinsi ulivyojisikia kwa yeye kumpost huyo mwanaume. Huna haja ya kumueleza uliyoyasikia kwa rafiki zake kuwa yeye anapost wenye magari wakati wewe huna.
 
Hivi hata kama mtu lets say kijana kamaliza chuo na hajapata kazi , hivi anaweza kudharaulika mpaka na wazazi wake na hata ndugu zake? Maana kuna kijana mwenzangu hapa anapitia hiyo changamoto hadi stage ya kunyimwa msosi home kwao!
Kwenye hii Dunia ukiwa na miaka 25 kupanda juu ukiwa huna hela hamna dharau utaacha kuona kutoka kwenye familia na ukoo

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Mkuu hapo kwenye "Mens" sema tu "Men". Milenia hii mna changamoto sana yaani sijui tuko kwenye Ruhamo wa Ruwaza (Paradigm Shift)? Na hii ndiyo imekuwa new normal! Vijana mnakimbilia sana kuleta na kuanika matatizo yenu ya ndoa kwenye mitandao! Ina maana siku hamna washenga au Wazazi wa kuwaweka chini na kusuruhisha matatizo yenu? Mnajichoresha! Mwingine juzi kaja kuanika hapa eti amegongewa mke na mke amehama chumba! Karne hii vimama vinawapitisha kwenye tanuru mpaka mseme!
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Mbona simpo Sana,..muandalie mtego anase kisha mtimue!,..
 
Hivi ni mm na ushamba wangu au mwanamke akiolewa anatakiwa achunge anachopost hasa kinachohusu wanaume wengine ambao si ndugu zake!
Sio ushamba uko sahihi sema tu akili za wanawake sijui wakati mwingine zikoje.

Mwanamke ukishakuwa na mahusiano committed unatakiwa kujichunga sana hata aina ya watu wa kuwasiliana nao
 
we wako ulimwokota wap
mwelekeze huyu mwamba na yeye akaokote kama wako
Mimi wangu sikumwokota.

Tumezaliwa sehemu moja, tumekua pamoja na tumesoma pamoja.

..............Kazi kwenu mnaokotana mjini kwa kuvutiwa na makalio.
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Mpe nafasi akaungane na huyo mwanaume
 
Mwenzangu! Sio tu kuolewa, hata katika mahusiano sithubutu kupost picha na video za wanaume wengine hata kwa zile za kuchekesha!

Hiyo nguvu ya kupost chats na mwanaume mwingine, tena nikiwa namsifia napata wapiiiiii?
Dada'ke huwa nakukubali sana una misimamo thabiti.

Wewe ni role model wa wanawake wanaohitaji kuwa kwenye njia sahihi.

Mwanaume uliyenaye anafaidi sana just being with you maana umejitenga na mambo ya kijinga.
 
Shukran kaka'ke.
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Ndo tatizo la kuoa kwenye familia masikini magari kwao wanaona ni big deal Hadi wanatweza utu wao.
 
Pole mkuu maana unaishi na tapeli na sio mke. Huyo yuko kwa target hapo kwako utapata tabu sana usiposimama kiume ndio maana tunaendelea kusisitiza vijana kuepuka kabisa kitu inaitwa NDOA ni kujitafutia matatizo
KATAA NDOA
 
Back
Top Bottom