sijui nitakuwa sawa!
wanawake wanapenda sana vitu viwili Gari na Mitoko! lakini pia mwanamke anapenda vitu vinavyoonekana haraka na kutoa attetion kwa wengine. mfano
- ukimwambia tununue gari au tujenge nyumba atakwambia tununue gari kwanza
- tununue kiwanja au shamba atakwambia kiwanja hata kama shamba linathamani kubwa na linaweza kuzalisha kiwanja kizuri baada ya mwaka hatakuwa tayari kwa hilo shamba.
kwa kifupi sana ni kwamba wanaume tuendelee kutafuta fedha tena nyingi kama tunataka kuishi kwa furaha na hawa binadamu vinginevyo ni vilio tu.
wao ni wanaiangalia leo na si jukumu lao kuangalia kesho.
hivyo tuchukua hiyo kama challenge kuwa unahitaji utafute usafiri mdogo wetu.
lakini usiogope mwisho wa siku haijalishi imekuchukua mda gani muhimu simamia kwa uaminifu njia zako unazoziamini kwa kipato. Piga kazi kwa bidii, tunza uaminifu wako na tumia akili zaidi katika kuongeza kipato.