Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

Ndugu huo ni ukweli mimi iliwahi nitokea kwa mpenzi wangu mimi sijawahi postiwa nina mwaka mzima ila katika huo mwaka kuna rafiki yake mwenye gari kapostiwa mara 3 ilikuwa inauma sana
Khaaa...mimi kwanza mpk nipost kitu najiuliza mara 3 mr atachukuliaje? Hata vi memes tuu huwa sipost vya kijinga 🤣 🤣
 
Ninini maana ya hasira?
Jibu- hasira ni kuumia kwa upumbavu wa mtu mwingine. Broda ukoa roho yako wala ucjidharau wewe bado mzima na una akili timamu. Kilichotokea ni kupitia tu kwenye kipindi cha majaribu. Nachokuhakikishia sio kipindi kirefu. Nakushaur umwambie unavyoumia kwa kile anachofanya halafu Mpotezee. Usimwache ila jihadhar ucmfikirie utajikuta unapoteza focus yako ya namna ya kutoka hapo. Jipange muombe Mungu yote yanapita. Kila mtu kapitia hapo.
Mwanamke akijua unaumia kwa anachokufanyia ujue kabisa umeisha, mwanamke hatakiwi kabisa ajue kama matendo yake baadhi yana kuumiza. Ni mara mia ajue unampuuza ila asijue unaumia
 
sijui nitakuwa sawa!
wanawake wanapenda sana vitu viwili Gari na Mitoko! lakini pia mwanamke anapenda vitu vinavyoonekana haraka na kutoa attetion kwa wengine. mfano
  • ukimwambia tununue gari au tujenge nyumba atakwambia tununue gari kwanza
  • tununue kiwanja au shamba atakwambia kiwanja hata kama shamba linathamani kubwa na linaweza kuzalisha kiwanja kizuri baada ya mwaka hatakuwa tayari kwa hilo shamba.
kwa kifupi sana ni kwamba wanaume tuendelee kutafuta fedha tena nyingi kama tunataka kuishi kwa furaha na hawa binadamu vinginevyo ni vilio tu.
wao ni wanaiangalia leo na si jukumu lao kuangalia kesho.
hivyo tuchukua hiyo kama challenge kuwa unahitaji utafute usafiri mdogo wetu.
lakini usiogope mwisho wa siku haijalishi imekuchukua mda gani muhimu simamia kwa uaminifu njia zako unazoziamini kwa kipato. Piga kazi kwa bidii, tunza uaminifu wako na tumia akili zaidi katika kuongeza kipato.
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
umeyatimba..
 
Hapana nakataa. Kwa mfano ukimfumania mkeo halafu ukakaa kimya bila kubadilika ukawa unacheka na kuchangamka kama hapo kabla. Nakuhakikishia atakimbia mwenyewe
 
sijui nitakuwa sawa!
wanawake wanapenda sana vitu viwili Gari na Mitoko! lakini pia mwanamke anapenda vitu vinavyoonekana haraka na kutoa attetion kwa wengine. mfano
  • ukimwambia tununue gari au tujenge nyumba atakwambia tununue gari kwanza
  • tununue kiwanja au shamba atakwambia kiwanja hata kama shamba linathamani kubwa na linaweza kuzalisha kiwanja kizuri baada ya mwaka hatakuwa tayari kwa hilo shamba.
kwa kifupi sana ni kwamba wanaume tuendelee kutafuta fedha tena nyingi kama tunataka kuishi kwa furaha na hawa binadamu vinginevyo ni vilio tu.
wao ni wanaiangalia leo na si jukumu lao kuangalia kesho.
hivyo tuchukua hiyo kama challenge kuwa unahitaji utafute usafiri mdogo wetu.
lakini usiogope mwisho wa siku haijalishi imekuchukua mda gani muhimu simamia kwa uaminifu njia zako unazoziamini kwa kipato. Piga kazi kwa bidii, tunza uaminifu wako na tumia akili zaidi katika kuongeza kipato.
Kutafuta fedha siyo suluhisho bro...solution ni kupata mtu atakayekupenda kwa kila hali na mali...pesa huuisha mzee...what's next si utapitia tena haya..
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Duuuhh, ngoja niisome yote sasa, nimesoma mstari wa kwanza tu
 
Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.

Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada ya kupita kitaa mashost wa wife wanaongea kwa kebehi kwamba "mke wake anapost wanaume wenye magari ilihali mumewe hana" asee nimejikuta nina hasira za ajabu na msongo,natokaje kwenye huu mtego msaada tafadhalini..
Your wife is attached to materials!
 
Wanaume sijui mmekuwaje kuwaje haki[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Enhe embu tupe maoni yako, kitendo alichofanya uyo mwanamke unaona ni sawa? Unaweza usielewe malalamiko ya huyo jamaa from a woman's point of view.
 
Kuweni wanaume ili mpunguze kulalama daily kwa vitu visivyo na kichwa wala miguu.
 
Sio kila mwanamke anafaa kuwa mke, tatizo vijana wanaoa sura na tako matokeo wanakuja kuyaweka ndani mamalaya

Malaya ni malaya huwa habadiliki hata siku moja
Acheni zenu bwana mwanamke tako na sura bwana. Sasa unaoa mwanamke hana tako kuna raha gani ya kumgegeda?
 
Hahaa tako silipingi mimi mwenyewe nalihusudu sana, tako acha liitwe tako. Ila inapohusu wa kufanya naye maisha awe na tako na wife material likiwa tako peke yake halafu ndani hapakaliki utatamani uligawe bure kwa wana
 
Hahaa tako silipingi mimi mwenyewe nalihusudu sana, tako acha liitwe tako ila inapohusu wa kufanya naye maisha awe na tako na wife material likiwa tako peke yake halafu ndani hapakaliki utatamani uligawe bure kwa wana
Kwani shida iko wapi mke akileta ujinga sii unafukuza tuu basi inaisha unaleta tako lengine ndani.

Alafu mwanamke kugegedwa na mwanaume mwengine ni sababu dhaifu sana ya kumtaliki mkeo. Sababu pekee ya kumuacha mke ni pale hakupi mbususu.
Lakini anakupa mbususu na huko nje pia anawapa vidume mbususu sio kigezo cha kumuacha. Hamnaga mwanamke wako peke yako bwana.
 
Back
Top Bottom