Anasema anajenga kwa kukopa, Magufuli alitaka tujitegemee kwa kiasi fulani kujenga

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
 
Ukiwa zezeta usiyejua chochote ndio utaamini zile propaganda za Magufuli
Kwa makusanyo ya kodi ya nchi hii, kamwe huwezi kujenga bila kukopa
Alikuwa akikusanya bilioni 1400 kwa mwezi (trilioni 1.4)
Katika hizo, bilioni 700 zilikuwa zinatumika kulipa mishahara ya wafanyakazi
Bilioni 600 kulipa riba na madeni ya nje
Bilioni 100 kwenye elimu bure na mengineyo
Halafu utekeleze mradi wa trillioni 7 kwa pesa za ndani? Zipi hizo?
 
Ukiwa mjinga na mwenye fikra tegemezi kwa wazungu ndio huwezi kuelewa kile mtoa hoja kaandika.
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
Tatizo la Magu usanii ulikuwa mwingi, kawadanganya watu na wengi walikubali kudanganyika.
Watu waliamini hata vilivyowazi kutokuamini, eti tuliambiwa na sisi tutakuwa tinakopesha kwa wazungu, [emoji23][emoji38]
 
Mjinga tu ndio alishindwa kumuelewa magu. Alichomaanisha kama wanaweza kukuibia mabilioni ya madini ukidanganywa ni mchanga tunahitaji kuamka usingizini tuweze kua nchi tajiri.
 
Aliyesema JPM alitumia unyang'anyi ninampinga kwa nguvu zote. Sasa akiona account iliyonona ambayo mwenyewe hana maelezo ya kutosha, atarudisha serikali ili zisaidie wewe mlala hoi uliyehujumiwa. Huo sio wizi ila ni kumrudisha pesa iliyoibiwa serikali. Wale waliosaliti Tz akichukuwa hizo pesa amenyang'anya? Alifanya hivyo kwa uzalendo wa hali ya juu. Aliwatapisha watu mapesa waliyoiba. Lala salama baba, ama kweli watu wema hawaishi mda mrefu.
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
Kama kuna mtu Bado anaamini maneno ya mwenda zake basi Milembe atangulie mwenyewe
 
Na kwa kauli na reactions zake kuhusu mikopo inaonesha wazi kuna mengi tusiyoyajua kuhusu ukopaji wa awamu hii na ile iliyopita. Kwanini ajistukie sana kwenye mikopo ikiwa na wengine walikopa kama yeye? Kwanini awachukulie hatua wanaozungumzia kuhusu kukopa sana?
Kwanini awatake watu wasifie kile kilichofanyika/kinachofanywa kupitia mikopo? Kuna nini cha zaidi nyuma ya hiyo mikopo?
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.
Chagua moja hapa:- Uwe mateka wa mtu mwongo ambaye alikuwa anakopa halafu anadanganya kuwa anajenga kwa fedha za ndani.

AU

Utumie akili zako vizuri kwa kumuelewa Samia ambaye anakiri anakopa kumalizia kujenga miradi aliyoanzisha mtangulizi wake.
 
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa.

Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya kujitegemea na ile kuwafunza watanzania kwamba nchi yao ni tajiri jambo ambalo ni kweli. Aliwaonyesha mabeberu uwezo wa nchi yetu kujenga miradi kwa kujitegemea kwa kuanza na hela za ndani jambo lililowaudhi kwani aliweka mikakati kuhakikisha biashara za ndani na wawekezaji wanalipa kodi kufuatana na sheria na sio vinginevyo.

Nia ya mabeberu ilikua kutawala nchi kuhusu miradi gani tunaweza kufanyab na ipi hatuwezi au haturuhusiwi kufanya kufuatana na maslahi yao na sio maslahi ya nchi yetu. Pia ile jeuri ya kutaka kuruka kizingiti kwamba hatuwezi kujenga bila kukopa kwao kwa masharti yao iliwaudhi.

Nachotaka kusema kwa mama ni kwamba sio tu kwamba ahakikishe miradi inakamilika lakini awe alimuelewa jpm. Kwa hivyo asije ua ile fikra ya kujitegemea kwa kurukia mikopo kwa kila kitu na hasa ile isiyokua na tija bila kutumia kwa kiasi kikubwa nguvu yetu wenyewe. Atambue ubeberu moja ya nyenzo zao ni kuhakikisja tupo daima kwenye madeni makubwa yasiyolipika na hata kama yanalipika. Lazima pia kutambua mikopo ni biashara wala hakuna hisani.

Pia mama atambue vigogo wanaomzunguka wanapenda mikopo kwani ni hela ya kigeni inaingia wangependa kuipiga kwa kufanya dili mbalimbali hatimae mradi kua ghali sana au kupunguka ubora.

Magufuli naye alikuwa amekopa tofauti ni kwamba Magufuli alichukuwa mikopo mibaya kama ule wa treni Dar-Moro.
 
Sawa, lakini kuna habari zinazunguka kwamba miaka 2 baada ya Magufuli, zimekopwa pesa nyingi kuliko miaka 5 ya Magufuli.

Watu waelezwe mikopo ya Magufuli ilifanya kazi zipi, na hii ya sasa imefanya zipi.
 
Ukiwa mjinga na mwenye fikra tegemezi kwa wazungu ndio huwezi kuelewa kile mtoa hoja kaandika.

Uongo mtupu. Ni lini tulieahi kuwa na pesa kutekeleza miradi mikubwa kwa hela za ndani? Ilikua ni kuwapa moyo wananchi ili kulipa kodi kitu ambacho ni sawa, ila kukopa hakuepukiki, na hakukuwezekana kuepukwa hata wakati ule.
 
Screenshot_20230104-090800.jpg
 
Tatizo la Magu usanii ulikuwa mwingi, kawadanganya watu na wengi walikubali kudanganyika.
Watu waliamini hata vilivyowazi kutokuamini, eti tuliambiwa na sisi tutakuwa tinakopesha kwa wazungu, [emoji23][emoji38]

..Magufuli alikuwa ni kifaa cha kusaidia mapigo ya moyo kilichotengenezwa na mabeberu.

..Kwa hiyo yeye kudai anachukia Mabeberu ilikuwa ni ulaghai kwani uhai wake ulitegemea hisani ya kifaa chao.

..Na zile pushup na vitimbi vingine majukwaani kuonyesha kuwa yuko imara ilikuwa ni ulaghai.
 
Sawa, lakini kuna habari zinazunguka kwamba miaka 2 baada ya Magufuli, zimekopwa pesa nyingi kuliko miaka 5 ya Magufuli.

Watu waelezwe mikopo ya Magufuli ilifanya kazi zipi, na hii ya sasa imefanya zipi.

Sio Habari zinazunguka lakini ndiyo ukweli

1. Deni la wastaafu limelipwa ni 2 trillion
2. Mkopo wa bei rahisi wa Covid Mama katumia kujenga madarasa
3. Magufuli alikopo kwa muhula wa kwanza wa reli na Samia kakopa kwa mihula ya pili na wa tatu
4. Bwawa na Mwalimu Nyerere lilikuwa halijalipwa lote Mama amekopa kulipia
5. Uwekezaji kwenye kilimo 600B

Tukiacha mengine kama ongezeko la mishahara zaidi ya 20% ambako wananchi ndiyo wamedai na wakati wa Magu hakuongeza mishahara.

Sasa mlitaka miradi ifanyike na pesa zipi hasa wakati hamtaki tozo zaidi. Njia pekee ni kukuwa kwa uchumi na ni lazima uwekezaji huo ufanyike ili kodi ziongezeke. Lakini Magu alikuwa anachukuwa pesa za watu bank kulipia miradi hii haikuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom