Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Kwani kuwa over 30 ndo nini jamani? Mbona mabinti huwa mnapenda kujipa presha za bure tu? 😳
Hapana, hatujipi presha ila wanaume wengi si mnapenda below 30 ye mwenyewe nilimwambiaga nikipata mtu anahitaji mchumba nakuungsnisha anasema kabisa mwambie niko over 30 tena over 35 ili mtu ajue
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa
 
Hapana, hatujipi presha ila wanaume wengi si mnapenda below 30 ye mwenyewe nilimwambiaga nikipata mtu anahitaji mchumba nakuungsnisha anasema kabisa mwambie niko over 30 tena over 35 ili mtu ajue
Aliyesema tunapenda below 30 nani huyo, aah kweli wapo wanaopenda...wengine tunapenda 30+, yaani hapo timefika!!
 
Aliyesema tunapenda below 30 nani huyo, aah kweli wapo wanaopenda...wengine tunapenda 30+, yaani hapo timefika!!
Ooh baso she is uncomfortable anaona kachelewa namuombea Mungu ampe mume kwanza kabla hata ya mimi unless si mapenzi ya Mungu ye kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…