Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Kwani kuwa over 30 ndo nini jamani? Mbona mabinti huwa mnapenda kujipa presha za bure tu? 😳
Hapana, hatujipi presha ila wanaume wengi si mnapenda below 30 ye mwenyewe nilimwambiaga nikipata mtu anahitaji mchumba nakuungsnisha anasema kabisa mwambie niko over 30 tena over 35 ili mtu ajue
 
Mwambie asilimu, akate govi, aanze kusali sala tano, nimpe toto la uhakika. Lina sifa njema zote Ma shaa Allah.

Hakuna pm wala nini, anakuja nyumbani anamuona binti mubashar, ana kwa ana, mbele yetu. Hakuna mambo ya kuongea faragha na binti ambae hajamuoa. Aje hata mara mia, sharti ni hilo.

Huo ndiyo uchumba pekee niujuwao mie.

Kabla ya kuja aseme kabisa, kama yeye bikra, tumweke mchumba bikra, kama kishakubuhu huko, tumweke mchumba aliyekwisha kubuhu.

Hakuna longolongo.

Tena tutamfundisha akija aje vipii, watu wa pwani tuna namna zetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa
 
Hapana, hatujipi presha ila wanaume wengi si mnapenda below 30 ye mwenyewe nilimwambiaga nikipata mtu anahitaji mchumba nakuungsnisha anasema kabisa mwambie niko over 30 tena over 35 ili mtu ajue
Aliyesema tunapenda below 30 nani huyo, aah kweli wapo wanaopenda...wengine tunapenda 30+, yaani hapo timefika!!
 
Aliyesema tunapenda below 30 nani huyo, aah kweli wapo wanaopenda...wengine tunapenda 30+, yaani hapo timefika!!
Ooh baso she is uncomfortable anaona kachelewa namuombea Mungu ampe mume kwanza kabla hata ya mimi unless si mapenzi ya Mungu ye kuolewa
 
Back
Top Bottom