Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Mpe nafasi wengine wajifunza wakiwa nje ya gemu kama atakua na tabia zilezile arudi kwao ila Mpe nafasi kuoa oa napo sio vizuri.
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Anarudi kwako kwa sabb ya ugumu wa maisha.
Ukicheza atakumaliza kabisa kabisa.
 
Ni miezi 4 sasa tokea mke wangu kukimbia na kuondoka na vitu na kuniacha kama nipo form one. Sasa anataka kurudi ili tuanze maisha mapya kwa sababu tulibahatika kupata mtoto mmoja.

Moyo wangu japo ninampenda ila nikikumbuka dharau, manyanyaso, maneno ya shombo kutoka kwa upande wa kwao nawaza sana. Maana ndoa si watu wawili tu yaani mke na mume, bali ni muunganiko wa familia mbili.

Nina maswali mengi sana ambayo hayana majibu;
~ Anarudi kwangu kwa ugumu wa maisha?
~ Anarudi kwangu kwa ajili ya kulea mtoto?
~ Anarudi kwangu amejifunza kuthamini mume?
~ Au anataka arudi kunimaliza kabisa?

Maana aliondoka kwa kishindo sana.
Piga chini huyo anza upya. Labda kama kuna sababu iliyomfanya akukimbie na sababu itokane na wewe mwenyewe nje ya hapo jiandae kwa matatizo zaidi
 
Haupo serious mkuu, ikiwa utatumia moyo kuamua badala ya akili itakula kwako, unaona kabisa kuna kikwazo kinachofanya ufikirie kurudiana nae ni nini
Sababu alishanipakazia kwa maneo ya uwongo kwa familia yake na wakamuamini mpaka anarudi kwao akuna ata mmoja alieniuliza what happen ila walikaaa kimya na kumpokea hiyo situation inaniumiza kichwa
 
Inakuumiza kichwa sababu unafikiria kurudiana nae ungekuwa hufikirii hivyo wala kichwa kisingeuma
 
Wanasema wataalamu kuwa kama mwanamke akichit na ukajua na akaondoka usirudiane naye kama maisha yangu aya mafupi nimeona wanaume watatu waliachwa kwa kebei bdaye wanawake wakajirudisha kilichofuata mmoja tulimzika mwaka juzi uyu mwingine yupo kama zuzu anataka kuchanganyikiwa
 
Back
Top Bottom