Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

Kashaachwa na aliyekuwa anampa kiburi, mwamba kapiga katosheka. Anataka kurudi apendeze tena kisha akupe pigo mwana ukome.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo karogwaa sio bureee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miezi 4???aliemdanganya kashamchoka anataka arudi,pambana mkuu
 
Bhs alifanya maamuzi kwa hasira anajutia. Mpe nafasi mlee mtoto.
HASIRA TU HIYOOO,HAKUNA CHA KUMMALIZA WALA NINI.TENA ATAKUWA NA ADABU HUYO,HADI ATAMSHANGAA.AMUWEKEE SHERIA TU,AKIVUNJA ATEMBEEE
 
Ndoa mke na mume ila ndoa itakuwa ngumu kama upande wa mke au mume kutakuwa na utofauti ivyo ndivyo ninavyo amini mimi
Uko sahihi,ukitaka kujua kua ndoa nimuunganiko wa familia mbili kaidi hilo halafu mkamatane tu me&ke bila hizo familia mbili kushiriki hilo suala ndio utaona lazima kuna namna tu mtawarudia kwenda kuwaomba au kutafuta msaada wao,kwahyo hoja yako iko sahihi mkuu.ndoa nimuunganiko wa familia mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…